Al-Shabab waua wanajeshi 54 raia wa Uganda

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema mauaji yametokea katika shambulizi la Al-Shabab kwenye kambi ya walinda amani wa Umoja wa Afrika Nchini Somalia.

Wiki iliyopita Museveni alisema kumetokea vifo vya Waganda lakini hakutoa maelezo zaidi kuhusu shambulio hilo dhidi ya wanajeshi hao wanaohudumu katika Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS).

Kina Wanajeshi 22,000, kimekuwa kikitoa msaada kwa Serikali ya Somalia katika vita dhidi ya Al-Shabab tangu Mwaka 2022 ilipochukua nafasi ya Misheni ya AU Nchini Somalia (AMISOM).

==============================

Al-Shabab killed 54 Ugandan soldiers in Somalia, says Museveni

Announcement comes a week after al-Shabab fighters stormed a base housing African Union peacekeepers in Somalia.

A soldier serving in the African Union Mission in Somalia jumps off a military vehicle in Mogadishu, Somalia

A soldier serving in the African Union Mission in Somalia jumps off a military vehicle near the scene of a suicide explosion in Mogadishu, Somalia, November 11, 2021 [File: Feisal Omar/

Uganda’s President Yoweri Museveni has announced the deaths of 54 Ugandan soldiers in an al-Shabab attack on a base housing African Union peacekeepers in Somalia.

Museveni’s statement on Saturday comes a week after al-Shabab fighters stormed the base in Bulamarer, 130 kilometres (80 miles) southwest of the Somali capital, Mogadishu.

The armed group claimed it carried out suicide bomb attacks on May 26 and killed 137 soldiers.

tured the base from the al-Qaeda-linked armed group.

“Our soldiers demonstrated remarkable resilience and reorganised themselves, resulting in the recapture of the base by Tuesday,” the president said.

Museveni said last week that there had been Ugandan casualties but had not given further details about the attack on the troops, who are serving in the African Union Transition Mission in Somalia (ATMIS).

Al-Shabab has been fighting since 2006 to replace Somalia’s Western-backed government with its own rule based on a strict interpretation of Islamic law.

Last August, an intensive government offensive began after the election victory of President Hassan Sheikh Mohamud and has made significant gains in eroding the group’s control of vast swathes of Somali land.

But al-Shabab is still capable of launching significant attacks on government, commercial and military targets.

It also intermittently launches attacks in neighbouring Kenya as part of reprisals for Nairobi sending troops to support Mogadishu’s rebel pushback.

ATMIS, which has 22,000 troops, has been assisting Somalia’s federal government in its war against al-Shabab since 2022 when it replaced the AU Mission in Somalia (AMISOM).

Source: Aljazeera
 
Pole kwa ndugu,jamaa na marafiki wao hao wanajeshi.Mu7 ange-concentrate DRC,kama sisi wanajeshi wetu wanakoenda.DRC uwezekano ni mkubwa wa wanajeshi kurudi hai,kuliko Somalia.Somalia ni hatari,hata nafasi za jeshi huku kwetu,zingekua zinatangazwa halafu zinaambatana na tangazo la kwamba baada ya kuhitimu,wahitimu watapelekwa Somalia,wangejitokeza wachache sana na happy ndo tungeona wale wenye wito wa jeshi kabisakabisa.R.I.P real soldiers.
 
hivi hua kuna ulazima gani wa kupeleka wanajeshi huko ? kuna faida gani ?

hapo ukute idadi ya vifo ni kutisha wanaficha tu .
 
Ni muhimu usipopeleka wanajeshi huko ndio mambo ya kibiti na mtwara.

huwa wanaambukiza itikadi kwa wengine inasambaa kutoka kwa jirani hadi uvunguni mwa kitanda chako..
sijakuelewa !

kwa hio hao Wanajeshi wanaopelekwa huko wanazuiaje hilo ?
 
Dawa ni kuiacha somalia wauane mpaka waishe!! Uganda Kenya Burundi ondoeni askari wenu hawa jamaa wauane mpaka waishe
 
Twakumbukaaaa makamanda wetu waliokufa kwenye mapambanooo×2

If I die don't bury me, say bye bye to my family×2

Kazi ya jeshi ni nzuri sana sometimes ya ajabu ajabu
 
Back
Top Bottom