Elections 2010 Al-Nuur na CUF wana agenda gani?

mpuuzi

Member
May 29, 2010
99
17
Kijarida hiki wiki hii kimekuja na mpya mbili zinazoonyesha kumbe waislamu wanataka CUF ishinde.
1.Lipumba afunika msafara wa kikwete. Wanadai kuwa watu wengi hivi sasa wameelimika na wanahitaji mabadiliko ambapo hata hivyo wanaamini kuwa Lipumba kutokana na weledi wake anao uwezo wa mabadiliko.

2. Slaa atakwepaje usia wa POPE LEO XIII kwa maana eti pope huyo alitoa amri kwa wakatoliki kupiga kura kwa maslahi ya UKATOLIKI.
 
Weledi watakuomba source ya habari hizi!
 
what???????........ what is lipumba....yeye kazi yakle kusindikiza tu

bora aachane na siasa aende kuwa imamu kule jang'ombe amtumikie akubar
 
Gazeti la An Nur toleo la leo lina front page headline inayosomeka "Lipumba afunika msafara wa CCM."

Tatizo langu hapa halipo katika ukweli au la wa headline hiyo kutokana na hali halisi iliyojitokeza wakati wa uchukuaji wa fomu – tatizo langu ni kwamba vipi hili gazeti la dini ya Kiisilamu linajiingiza katika ushabiki wa kisiasa kwa upande wa CUF?

Nasema hivi kwa sababu sijawahi hata siku moja kuona gazeti hilo likiandika habari kuu za mbele ambazo ni positive kuhusu vyama vingine vya kisiasa isipokuwa za CUF tu. Inakuwaje hapa? Gazeti hilo haliwezi tu kuwa friendly kwa CUF bila sababu ya msingi.

Kweli hiyo tuhuma za siku zote kwamba CUF ni chama cha Kiisilamu ni za uzushi?
 
Msisome hayo magazeti yanawacorrupt akili !
 
wameeahidiwa mahakama ya kadhi na oic....mbona hilo siyo swali ni jibu tosha??/
 
watu tunatoka humo na wewe tena unaturudisha huko... we haya we!
 
mi wananiuzi hawa jamaa................utasikia sasahivi maandamano
 
Gazeti la An Nur toleo la leo lina front page headline inayosomeka “Lipumba afunika msafara wa CCM.”

Tatizo langu hapa halipo katika ukweli au la wa headline hiyo kutokana na hali halisi iliyojitokeza wakati wa uchukuaji wa fomu – tatizo langu ni kwamba vipi hili gazeti la dini ya Kiisilamu linajiingiza katika ushabiki wa kisiasa kwa upande wa CUF?

Nasema hivi kwa sababu sijawahi hata siku moja kuona gazeti hilo likiandika habari kuu za mbele ambazo ni positive kuhusu vyama vingine vya kisiasa isipokuwa za CUF tu. Inakuwaje hapa? Gazeti hilo haliwezi tu kuwa friendly kwa CUF bila sababu ya msingi.

Kweli hiyo tuhuma za siku zote kwamba CUF ni chama cha Kiisilamu ni za uzushi?

mmiliki wake nani????????
kama ni CUF or potential member wa CUFkuandika hizo habari sio swala la udini ni mapenzi ya kichamai, maana hata siku moja sijaona UHURU or RAI or ... yakiandika mazuri ya upinzani zaidi ya CCM tu.
 
Weledi watakuomba source ya habari hizi!

Mchungaji utahitaji source ya nini tena hapa? Nenda meza za magazeti utaliona tu. Tena kuna ka paragraph sijui aliyekuwa anakasoma na kukatafsiri alikuwa amelewa tende? Kameandikwa hivi:-

Title: SLAA ATAKWEPAJE USIA WA POPE XIII?
Content:" ........... it is always urgent indeed the chef preoccupation to think best how to serve the interest of Catholicism. In any election he went on Catholics are obligated to votefor those who pledged themselves to the Catholic cause and never prefer to them anyone hostile to (Catholic) religion which is the only true religion" Page 150 VICARS OF CHRIST

Hawa watu Udini unawafanya wazidi kuwa nyuma kimaendeleo
 
mmiliki wake nani????????
kama ni CUF or potential member wa CUFkuandika hizo habari sio swala la udini ni mapenzi ya kichamai, maana hata siku moja sijaona UHURU or RAI or ... yakiandika mazuri ya upinzani zaidi ya CCM tu.
Tatizo lilopo kwa watu wengi ni kwamba hawawezi kuitofautisha dini na vyombo hivi vya habari. Hata siku moja uislamu Tanzania haukuwahi kukitambulisha chombo hiki kama mali ya waislamu. Wamiliki nao wanayatafuta maslahi katika dunia hii. Chonde chonde liwekeni mbali gazeti hili na uislamu.
 
yawezekana ni kweli, lakini kumbuka huwezi kununua mafuta ya taa harafu ukabebea kwenye mfuko wa gunia
 
CUF ishinde? Wapi? Zanzibar au Tanzania Bara? Kama ni Bara labda kwa Jambia! Namheshimu sana Prof. Lipumba kwa kumjua kama mwalimu wangu lakini he is in the wrong company. Al Hudda ni trash tupu.
 
yawezekana ni kweli, lakini kumbuka huwezi kununua mafuta ya taa harafu ukabebea kwenye mfuko wa gunia

ndo tushazoea hivyo, ndo maana kanisa na miskiti inatoa miongozo ya uchaguzi wakati kazi ya wanasiasa!kila mtu anaangalia wapi kuna maslahi ndo unaegemea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom