GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,689
- 109,117
Baadhi yenu baada ya kusikia leo Mwaposa ana Ibada yake ya Mkesha ya Vuka na Chako ( ambayo Demu wangu Kaniwakilisha ) mlivyo na Wivu, Chuki na Roho Mbaya zenu nanyi kwa Makusudi mkaandaa Mikesha yenu ili Waumini wenu wasiende Mkeshani Tanganyika Packers Kawe.
Haya nyie KKKT. Kawe kwa mfano oneni sasa Mlivyoumbuka kwani pamoja nanyi kuandaa Mkesha wenu Usiku huu hadi hivi sasa GENTAMYCINE naandika huu Uzi nachungulia Kanisa lenu naona hakuna Waumini kabisa huku Wanakwaya wenu wakiamza kupiga tu Miayo na wengine Wakitongozana na Walinzi wenu wakiwa Wanalijadili tu na Kulisifia Tamasha la Mwaposa linaloendelea sasa.
RC, KKKT, SDA na Anglican msichokijua tu ni kwamba Utajiri mkubwa wa Waumini wa Mwaposa ni wale waliokuwa Waumini wenu Kimadhehebu hivyo GENTAMYCINE nawaombeni kaeni chini mjiulize mmekosea wapi mpaka Jamaa ( Mwaposa ) amewapigeni na anaendelea Kuwapigeni Bao kwa Kukubalika na Kuaminika Kwake.
Binafsi RC ( Dhehebu langu tukuka ) kama kuna Kitu mnanikwaza GENTAMYCINE ni Kauli yenu ya Kibabe kuwa kama hatuhudhurii Ibada za Jumuiya za kila Jumamosi na hatutoi Michango yenu mnayoibuni kila mkiamka na mkijisikia basi Tukifa wala hamtopoteza muda wenu kuja Kutuombea achilia mbali kuja katika Misiba yetu tukiwa Majenezani tukisubiria kwenda kuyaanza Maisha yetu mapya tukiwa peke yetu chini ya Ardhi / Udongoni.
Haya nyie Wanakwaya wa KKKT Kawe baada ya Mkesha wenu Kudoda / Kuwadodeeni nawashaurini fungeni tu hilo Kanisa lenu na mpelekeeni huo Ufunguo Mchungaji wenu ambaye namuona Kisirisiri ( kwa Kumchungulia ) nae akiwa glued katika Tv yake iliyo Ukutani akifuatilia Mubashara kabisa Mkesha wa Mwaposa wa Vuka na Chako.
Hakika Mwaposa anawanyoosheni!!