johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,343
- 144,607
Akina Mama wenye asili ya Machame pale KKKT Kimara wamesoma Azimio mbele ya Kiongozi wa Kanisa lao mchungaji Matsahi wakimwomba Mungu wa mbinguni awaondolee dhana ya kuitwa Wapalestina
Kadhalika wamekanusha uvumi kwamba huwa wanauwa Waume zao ili Warithi Mali
Aidha Akina Mama hao wameomba wachagga na Watanzania wote waelewe kuwaita wao Wapalestina kunawapa Mateso makubwa wao na binti zao walio katika Uchumba na Ndoa hivyo wanaomba Sana tabia ya kuwaita hivyo na kuwazushia mambo kadha wa kadha ifike mwisho
Mchungaji Matsahi amewafanyia maombi Maalum Akina Mama wote wa Machame
Mlale Unono 😃