Akili

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
Dogo mmoja amepata division one katika mtihani, akaenda kwa baba yake akamuuliza, "Hivi baba hizi akili zote nimepata toka kwa nani? Kwako au kwa mama?" Mzee akamjibu, "naona umechukua akili za mama yako. Maana mimi bado nina akili zangu."
 
epa1257l.jpg
 
ina maana mamake hana akili. akili zake zilichukuliwa na huyo mtoto according to the father. Du matusi mengine jameni....
 
Back
Top Bottom