Akiingia kitaa akili itamkaa sawa

nimeangalia hiyo video sehemu ikanifikirisha sana ila tumpe muda huenda wazazi wapo kitengo au wanajiweza ila mfumo ndio unaweza mpa au usimpe anavyoendelea kukuanatajifunza kitu.

tuwafundishe watoto kubakiza maneno sio kila jambo kuliongea nimewakumbuka na wale pacha wa chuo kile
 
Hata kudanga huwa wengi wanaishia kupata wa kuwalipa elfu 20 tena wao hawapatikani kila siku.

Huyo anahisi nadharia za kwenye makaratasi na uhalisia ni sawa.
Nchi hii kama ni serikalini, kwa anayeanza kazi sijawahi sikia kama kuna kada inalipa kuanzia milioni 5, labda mniambie leo.

Wengi wanaolia lia mtaani huku wakijiita wasomi shida kuu ilikuwa inaendana na hiyo, wanachagua kazi wakati maisha halisi hayataki hivyo.

Kama sio mtoto wa mboga saba amezaliwa pangu pakavu tia mchuzi, baada ya miaka 4 tangu ahitimu chuo atatamani apate japo hata kazi ya malipo chakula, kodi na bundle la kuingilia JF pekee.
 
Daa
 
Au vipi
 
Attachments

  • 1704771002832.jpg
    1704771002832.jpg
    265.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom