Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 8,184
- 11,609
Kwa uchache,
Fumanizi ni miongoni mwa matikio ya aibu na fedheha, ghadhabu, hasira na uchungu sana kwa wahusika.
Hamu ya tendo inawakata kabisa, nguvu zinawaishia, sauti zinawakatia hazitoki vizuri, maneno yanawaisha ya kusema.
Kiufupi wahusika wanakua kama wameparalyese hivi. Wanakua mabubu na vibogoyo.
Wengine hutetemeka kama vibration ya kiswaswadu au mashine ya kufyatulia tofali za cement.
Pole sana waliowahi kupitia kadhia na dhahama hii ngumu na nzito sana kwenye jamii.
Eeehhe ndugu yetu, hebu tupe na utushirikishe uzoefu ilikuaje na ulitokatokaje kwenye mkasa huo?
Na wale ambao walinusurika mlichomokaje salama?
Na kwa ujumla, jambo hili sio jema na wala soi zuri. USIFANYE HILI, TOSHEKA NA ULICHONACHO.
Lakini hata pamoja na kukanyana, huwezi jua, mambo ni mengi. Kuna wakati bila kujua unaweza kuteleza bila kutarajia ukajikuta umefumaniwa pia...
Hebu toa nasaha na ushauri afanye nini akinaswa kwenye zogo hili la KUFUMANIA au KUFUMANIWA?