Aki afanya kufuru Nigeria

Ndivyo na wanasheria wetu wanavyofanyaga wakienda kusaini mikataba nje na wawekezaji. Hawapendi kupoteza muda kusoma makabrasha yenye kurasa kibao

Umeona eee ndo maana kila siku hatuishi kusaini mikataba ya ajabu ajabu
 
jamani kwani mlitaka amuoe nani? Jamaa kajiibulia kitu chake mineno kibaooo.........oooh kafuata hela sijui nini. Acheni hizo, wangapi humu jamvini mmshasemaga kwamba mwanaume pesa sio suruali na kukenua na uhandsome!
 
Ungejaribu kufupisha kidogo hadithi hii. Hujawahi kufundishwa kuandika telegram???
 
jamani kwani mlitaka amuoe nani? Jamaa kajiibulia kitu chake mineno kibaooo.........oooh kafuata hela sijui nini. Acheni hizo, wangapi humu jamvini mmshasemaga kwamba mwanaume pesa sio suruali na kukenua na uhandsome!

Mhmmm!!! Hilo nalo neno
 
We mtoa mada mbona mi sijaona kufuru yoyote hapa... Labda tuambie ni sehemu gani uliyoandika inazungumzia kufuru (matumizi makubwa ya pesa) au hujui maana ya neno kufuru..
 
kama hii ni ndefu je thesis/dissertation utaweza kweli kuiandika weye kama utaendelea na shule? Huo ukilaza ndo unai-cost sana nchii hii. Yaani page moja mtu unaona kazi kuisoma, lakini hapo ingekuwa ni dili mtu angekomaa just kwa kuwa anajua kuna ulaji. uvivu huu umefanya wengi wetu tushindwe ku-capture opportunities za kujiongezea kipato maana nyingi zipo kwenye maandishi.

Baadhi ya watz ni hovyo sana vichwani!
 
Usemayo ni kwel kabisa mkuu
 
Watanzania wavivu sana. Kuna mwalimu nilipokuwa chuoni alikuwa anasema kwamba, ukitaka kumpoteza mTZ we mwekee tangazo kwa maandishi. Na ndio maana kuna majina yalikuwa yanatolewa kwa ajili ya kusaini loan ila kwa kuwa yalikuwa yanabandikwa, kuna watu mpaka siku zinaisha anakuwa hana taarifa kisa uvivu wa kusoma.
HIYO mbona mtoto kuna jamaa mmoja alikuwa DAP - mkurugenzi wa Utumishi katika idara fulani (Hii ni kweli) basi wakati wa kupunguza watumishi wahuni wakaweka na jina lake pia wakampelekea orodha akasaini. Wakaandika barua kwa waanga wa zoezi hilo na yake ikiwemo wakampelekea akasaini pia. Basi barua zikapelekwa masjala zianze kusambazwa. Akaja kustuka baada ya kukabidhiwa barua kwa dispatch. Ndipo akaanza kushtuka ilikuwa too late lakini aliweza kubadili matokeo mezani
 
Duhh! hii kali
 
Hii kali kuliko...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom