Ajira hii ...wahi fursa ni yako.!!!

Aug 17, 2016
73
39
Nafasi ya kazi Sales executives wanahitajika.
Ni kutoka kampuni ya uuzaji wa Pikipiki Tanzania. Kama wewe unaujuzi wa sales, na unazifahamu vema pikipiki. tafadhali tembelea tovuti yetu kwa maelezo zaidi.

Kumbuka ili kuapply nafasi hii unatakiwa ujisajili na CVPEOPLE TANZANIA.
KUJISJILI NI BURE NA RAHISI SANA HAITOKUCHUKUA HATA DAKIKA TANO.

Unasubiri nini? wahi sasa...

CVPEOPLE AFRICA TANZANIA NI WAKALA NAMBARI MOJA WA AJIRA AFRICA NZIMA. IKIWA NA UMRI ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI. NI WAKATI WAKO SASA KUJISAJILI NASI BURE KUPITIA TOVUTI YETU .NA KUWEZA KUCHAGUA AJIRA UIPENDAYO. CVPEOPLE AFRICA HAITOZI JOBSEEKER GHARAMA YOYOTE. EPUKA MATAPELI.
 
Yupo mtu je atumaje cv na document ili apply
Karibu sana, tafadhali tembelea tovuti yetu ya CvPeople Tanzania kisha bonyeza kitufe cha register anza kuingiza taarifa zako zote. Upload Cv yako baada ya hapo angalia tangazo la kazi hii hapo hapo bonyeza apply. sisi tutapokea ombi lako.
 
Mimi ni member wenu ...vipi nafasi za wahasibu hakuna,..?
 
Back
Top Bottom