Chimemena
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,376
- 451
Ndugu zangu.!
Mkoani Ruvuma, wilaya ya Mbinga, Kata ya Ngumbo, kijiji cha Mkili hapo jana usiku kumetokea na ajari ya gari aina ya Landrover iliyo tumbukia mtoni (mto unaitwa MUNYAMACHI) na kusababisha majeruhi 7 na vifo vya watu watano (5) wakiwemo walimu wa shule za msing watatu waliokuwa wanatoka wilayani mbinga kuchukua mishahara yao.
Lakini mpaka sasa miili ya watu wawili (akiwemo mwalimu LUCAS MBUNDA Mkuu wa shule ya msingi NGUMBO) bado haijapatikana, inasemekana imepolea ziwani Nyasa.
Ch