Ajali zetu nyingi ni uzembe wetu wote kama taifa

Mkwawa

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
1,334
1,464
Uzembe wa kwanza hatufuati sheria za usalama
Uzembe wa pili sheria hazizingatiwi na wanaozisimamia wote wako likizo kwa rushwa na uhujumu.
Uzembe wa tatu serikali haitoi adhabu inayostahili kwa wale wanaokiuka usalama wa vyombo, abiria na mali zao
Uzembe mkubwa hatupendi maisha yetu na wengine
Kila mtu hajali sio kiongozi au wananchi

Vyombo vya anga ni vikukuu wala havikaguliwi, meli, ferries, boats nk hawafuati sheria za ujazo, matengenezo nk matokeo yake ndio tunayoona kila siku.
Magari yetu hayakaguliwi mengi hayafai kupakia abiria sababu za umasikini tunazotumia ndizo zinatuuwa kila siku.

Tukiacha uvivu wa kufikiri na kutenda tutapona.
 
Back
Top Bottom