Ajali ya Tank la Mafuta Vigwaza Mzani

Hapa mzani wa vigwaza Kuna ajali ya Tank la Mafuta, watu ni Wengi na madumu wanachota mafuta na hakuna Askari wa kuweka usalama au kuzuia.

Ushauri: Natoa taarifa mamlaka zichukue hatua mapema kuepusha maafa.

Nawasilisha.
Waache wajilipue maadam wanajua athari zake.
 
Hapa mzani wa vigwaza Kuna ajali ya Tank la Mafuta, watu ni Wengi na madumu wanachota mafuta na hakuna Askari wa kuweka usalama au kuzuia.

Ushauri: Natoa taarifa mamlaka zichukue hatua mapema kuepusha maafa.

Nawasilisha.
Foleni Ubena kwenda Moro tumesimama kwa zaidi ya saa moja na nusu, mdudu anacheza hapohapo.
 
Back
Top Bottom