Idour bana......mbona habari zako hazijitoshelezi?....
Eleza ni ndege ya kampuni gani....inabeba watu wangapi....sababu ya ajali ni nini....nk
Pia usisahau kutueleza chanzo cha taarifa yako.....
Listen clouds fm now if u can

Watu wengine sijui huwa wana haraka ya nini,

Mtu anapost habari kama hii ambayo ni very sensitive lakini inaning'inia tu bila muelekeo.

Sijui ndio mambo ya kutaka kuboresha idadi ya post!

sijapost kwa lengo la kuboresha idadi ya post,hauelewi fatilia

Nifuatilie nini wakati mwanzilishi/mleta taarifa hujui unachokiripoti.

Huna reliable sourcena hujui mazingira ya ajali. Kiujumla huna taarifa zozote kuhusu ajali unayoisema zaidi ya kuokoteza vijineno vya hapa na pale.

Hiyo website uliyosema hapo mwanzo iko wapi? bila shaka unaongeza idadi ya post tu hapa. i'm out!
nGOJA NIFUATILIE NAWALETEENI ISHU!Ndege imepata ajali Uyole mbeya,lakin wamenusurika kifo!
aksante sana kiongozi kwa clarificationMbeya Yetu Blog
Ajali ya ndege namba 9J-BIO SESINA 206, imetokea leo asubuhi majira ya saa tatu eneo la Nanenane Uyole jijini Mbeya na abiria wanne wanusurika kifo na hakuna aliyefariki.
Abiria walionusurika kifo ni pamoja JVER WAAK Umri wa Miaka 49 ambayealikuwa Rubani, Raia wa Afrika Kusini, Bwana CHRISTIAN BASIL MMASI umri miaka 30, Ambaye ni Afisa Utawala wa mashamba ya Kapunga wilaya ya Mbarali, Balozi MOHAMMED RAMIA kabula leke ni Mmakua mwenye umri wa miaka 64, mkazi wa Masaki jijini Dar es Salaam ambaye ni mfanyakazi EXPORT TRADING na Bwana SUNNY TAYIR mwenye umri wa miaka 50 ambaye ni Mhindi na ni mfanyakazi wa EXPORT TRADING.
Na chanzo cha ajali hiyo akijafahamiaka mpaka sasa.
Imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya Bwana ANACLET MALIMBISA
nGOJA NIFUATILIE NAWALETEENI ISHU!