ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,555
mi nilicheka vibaya sana....anadhani kupima dna ni kama kupima kinyesi kujua kama mtu ana amoeba au hana..jk bwana
kwani dna sikama watu wameungua wamehibika kiasi hujui nani ni nani.
ila tusilaumu ndio taabu ya kutaka umaarufu kwa viongozi wetu.