Ajali ya basi

mmbangifingi

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,839
559
429997_3188699527903_1578281785_32612441_73271884_n[1].jpg

Wakuu ajali hii inadaiwa kutokea March Mosi kwa basi hili kugongana uso kwa uso na gari ndogo. Kama kuna mwenye taarifa zaidi za mahali/eneo ajali ilitokea,if it was fatal nk. atujuze zaidi wanajamvi
 
Hebu taja eneo, maana hapa TZ ajali ni nyingi saana. Taarifa yako haijakamilika mkuu.

Well as I was still asking here and there,,naambiwa ni eneo la Kabuku na bahati hakukuwa na fatal! once again road accidents at their threat!
 
Back
Top Bottom