Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,149
Hii imekuwa ni mizaa ya tcaa kila siku ajali zinatokea akuna kinachoendelea
watu wakifa ndio wanakumbuka kuwawajibisha watu......
Bado tunaendelea kufwatilia chanzo cha ajali halisi ila bado kuna sehemu ya utata ambayo inasumbua natumaini tutapata uhalisia.
Kuna mambo ambayo naomba TCAA wayaweke wazi kama tatizo ni rubani , uwanja,waliohusika kusimamia uwanja siku hyo naomba wawajibishwe ili iwe fundisho,........ukiangalia anavyosema rubani kwamba ndege ilipiga dimbwi maji yakaingia kwenye injin yakaivuta,..ndugu watannzania wakati ndege ikishuka kuna watu wanakaa m kadhaa na zile za kuangalia kama kuna kitu kibaya kwenye uwanja na hata kama ndege imeshatua inacofanyika anaambiwa wanafanya turnround,...sasa huyu mtu alikuwa amelewa ama,??
PILI
Kuna swala ambalo linawasumbua sana wasimamizi wa ndege wa mwanza na dar es salaama,wengi wanakuja abh wakiwa wana hangover,hili jambo limesemwa sana lakini hakuna anaewafwatilia...anyway tuombe isitokee ajali
TATU
Rubani nae nina uhakika alikuwa ana nafasi ya kuplay part yake,...akiwa mbele natumaini anaona hadi dimbwi na kama akiliona kuna uwezo wa kulikwepa sasa yeye kama rubani ilikuwaje akaliingia moja kwa moja???
kuna ajali moja ilitaka kutokea Birnmngam NDEGE ilishatua kabisa kumbe kati kati ya uwanja ndege kama 40 walikuwa amelala mashaller akamjulisha contoller faster ruban akajulishwa na ile ndege ikanusurika na ajali
Tunachoomba, wahusika wawajibishwe bila kuangalia sura za mtu na kama ni uwanja walisimamia siku hiyo wawajibishwe,..kama ni marubani nao wapewe haki yao