Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,993
- 94,015
Mkuu si mambo yote hutokea na watu wote huyajua...
Vilevile kutokujua kuhusu suala fulani haina maana kuwa jambo hilo halipo...
Kuwepo wakati wa sayansi na teknolojia hakuthibitishi kuwa kuna mambo yatokeayo ambayo sayansi haiwezi kuyaeleza kwa kuwa sayansi si msaafu wa majibu ya maswali yote...
Hivi kama Nyerere tu aliroga ili ninyi Watanganyika mpate uhuru, je hili lakushangaza vipi nililobainisha hapo juu?

Watu8, we unaheshimika humu jamvini, are you that much superstitious! Mhhh, preserve your dignity. In this century of science and technology we have scientific answers to all worldly phenomena! If not answers, we have some plausible hypotheses to try to explain those phenomena!