Ajali,Ajali

Clarity

JF-Expert Member
Jul 6, 2010
1,586
2,088
Nimetokea Tanga kuwlekea Dat njiani nimekuta ajali mbili zote ni mabasi ya abirii
Dar Express kabla ya kufika Kabuku limeanguka barabarani limelalia upande mmoja bahati mbaya ckuweza kupata details za Vifo na majeruhi kwani sehemu ile nimeshindwa kupark gari na kuuliIa taarifa zaidi
Sumry lililotokea Tunduma kuja Dar nalo li
epata ajali maeneo ya mlandizi kwa kuligonga fuso hapo ni
eshuhudia kondakta akiwa amekatika miguu na kukimbizwa tumbi pamoja na majeruhi wengine nawasilisha
 
Tusubiri salamu za rambirambi kupitia Silva Rweyemamu....
 
Nimetokea Tanga kuwlekea Dat njiani nimekuta ajali mbili zote ni mabasi ya abirii
Dar Express kabla ya kufika Kabuku limeanguka barabarani limelalia upande mmoja bahati mbaya ckuweza kupata details za Vifo na majeruhi kwani sehemu ile nimeshindwa kupark gari na kuuliIa taarifa zaidi
Sumry lililotokea Tunduma kuja Dar nalo li
epata ajali maeneo ya mlandizi kwa kuligonga fuso hapo ni
eshuhudia kondakta akiwa amekatika miguu na kukimbizwa tumbi pamoja na majeruhi wengine nawasilisha

he!!......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom