Kunywa muarobainMimi kolo nahisi maumivu ya kichwa.
Vidonge gani vya maumivu nitumie hili nikae sawa?
Chama kacheza mpira mzuri. Tulizidiwa tu mbinu tukapoteza.Kwan chama Leo alikua wap
Anaroga sana mpaka friendly matches na mazoezi....Naona Aishi Manula zama zinamtupa mkono.....ufalme unaanguka mbele ya macho yake...... Hakika kila lenye mwanzo lina mwisho
Siku ya JKT Ayoub alitoa kama goli tatu Kwa sababu ana foot work nzuri,ingekuwa huyu Manula wa Sasa tungechezea kichapo Nadhani ni Bora akukubali kuwa mpira wake umeishaTimu ni mbovu Haina kiungo mzuiaji, Ata mechi na JKT Tanzania mlistahili kufungwa tatizo lilikua utoto wa JKT Tanzania.
Siyo Ayub tu, hata wale madogo wengine wawili hawawezi kufanya makosa kama yaleJamaa ameshaisha, akubali Hilo.
Goli alizofungwa Leo, Mzungu alikua anaokoa.
Kwenye historia ya Simba Manula ndo golikipa aliyerusu magoli mengi tuliyofungwa kwa mechi moja moja.Itakuwa anataka aende Azam Manula hawezi kubali kuwa second keeper
Kwa hiyo tatizo la Leo ni timu nzima au Manula Peke yake?Naona Aishi Manula zama zinamtupa mkono.....ufalme unaanguka mbele ya macho yake...... Hakika kila lenye mwanzo lina mwisho
Kwan chama Leo alikua wap