aisee mama kakimbia?

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,263
16,288
babuu.jpg aisii wababa woote muwe hivi na sie kina mama tuingie job,
turudi home sa 6 usiku
mkituzingua tuwacharaze viboko
 
ili mradi muendelee kubeba vitambi 9 months,, hilo tu mimi ndio kikwazo kwangu
 
hakuna la ajabu hapo, kama aliweza kupanda mbegu, ni ajabu akishindwa kubeba zao.
 
hiyo ya kutunza sawalaki ya kurudi saa 6 utalala huko huko... ukirudi saa 6 si utakuta na mwana mbilimbi ashalala
 
Jamani caring is sharing, sasa hapo mzee anatoa share yake ya kukuza jamii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom