Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 2,538
- 3,265
Bado una stress za kazini, stress za madeni, umasikini, kutoka kimaisha..wawahurumie masela..Nikazi kubwa sana msichukulie poa.
Huwezi simamia ukucha 40mins, wakati unawaza kulipa kodi...Ukimkumbuka baba mwenye nyumba inanywea yenyeweππ
Hilo tendo lipo kisaikolojia zaidi
Unakuta huyo sister yupo bedi alafu unaanza kumwingizia story za kuomba hela kwa jamaa au unampa story za kumtoa kwenye mood japo wewe unaona ni sawa, huku hana hata mia hapo unategemea perfomance itakuwaje.