DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 544
Wakuu tuwe makini na huyu muandishi,ukijaribu kufuatilia makala zake ni mtu wa ku-smear tourism industry ya tanzania na ni mpinga maendeleo.tizama hapo juu kuhusu stieglers gorge,stone town na serengeti.kuhusu dharura ya uwanja wa ndege,watu kutopewa maelezo ya kutosha na usumbufu mwingine sio jambo geni duniani tujikumbushe wakati wa christmas viwanja kadhaa vya ndege ,station za treni huko ulaya zilifungwa na usumbufu uliotokea ni almost similar na huo anaosema.simuelewi kwa nini anaulizia kambi ya kijeshi na yenye mabomu kuwepo karibu na airport?mimi nisiye na ujuzi wa vita naona airport na bandarini ni maeneo muhimu ya kulinda wakati wa vita.
Mwisho nakubali kuna uzembe uliopelekea milipuko na wahusika wawajibishwe lakini hii isiwe sababu ya WAPUUZI kutoka nchi jirani kuingilia mambo yetu.
Stupid Wolfgang!!
...Anachanga mambo ya chuki binafsi, incorrect info na facts.