Air Tanzania 787-8 line 719 at the Boeing Everett fuel dock

Chumbageni

Member
Oct 27, 2010
94
23
Fuel tank test

photo by Matt Cawby @ twitter:
 
Attachments

  • Dd2jSI_UQAAF-Q8.jpg large.jpg
    Dd2jSI_UQAAF-Q8.jpg large.jpg
    97.8 KB · Views: 74
Ndege yetu aina ya Boeing 787-8 imemaliza hatua zote muhimu za uunganishwaji wa vifaa vya ndani kwa mafanikio makubwa. Zoezi hilo lililoanza 4/5/2018 na kumalizika 21/05/2018 linatoa picha ya ndege hii kuweza kuwa delivered kabla hata ya tarehe tajwa (9/7/2018).
 
Ukiangalia picha vizur engine attachment bado hajakamilika maana bado engine haijawa attached. Ila iko kwenye hatua za mwisho za ku attach engine.
 
Ndege yetu aina ya Boeing 787-8 imemaliza hatua zote muhimu za uunganishwaji wa vifaa vya ndani kwa mafanikio makubwa. Zoezi hilo lililoanza 4/5/2018 na kumalizika 21/05/2018 linatoa picha ya ndege hii kuweza kuwa delivered kabla hata ya tarehe tajwa (9/7/2018).
duh we jamaa inabidi airtanzania waku ajiri tu ukawe fundi maana umetoa detail utazani unafanya kazi Boeing..hongera
 
Mimi naomba ikiwa inakuja ipitie pale HOSPITAL imchukue yule mgonjwa wamrudishe Tanzania.
 
Ndege yetu aina ya Boeing 787-8 imemaliza hatua zote muhimu za uunganishwaji wa vifaa vya ndani kwa mafanikio makubwa. Zoezi hilo lililoanza 4/5/2018 na kumalizika 21/05/2018 linatoa picha ya ndege hii kuweza kuwa delivered kabla hata ya tarehe tajwa (9/7/2018).
Kwa mafanikio makubwa? CCM Mnapenda sana haka kaneno hata mahali ambapo hapastahili kutumika.
 
Ni vizuri pia inapokuja kuliko kuja tupu, itusaidia kutubebea wale ndugu zetu wabeba box wanaozurura USA kama Nyani Ngabu, Mzee Mwanakijiji na wengine, hii ni fursa ya usafiri wa bure kurudi nyumbani tujenge Tanzania yetu pamoja..
 
Back
Top Bottom