Aina ya mwanaume anayewavutia sana wadada

Fakyuol

Senior Member
Nov 26, 2023
142
311
Dadaz, hebu leo tumalize huu mjadala! Eti, wewe kama wewe unavutiwa na mwanaume mwenye sifa zipi? Kati ya hizi:

1) Mwembamba, mweusi, na mrefu
2) Mnene, mfupi (kiasi), na mweupe

Kwanini?
 
Back
Top Bottom