Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,865
- 3,803
Nimekuwa nikifanya utafiti binafsi kwa kulima aina mbalimbali za mbegu za mahindi na kugundua yafuatayo.
1. ChapaTembo 719
Hii ni mbegu inayochukua muda mrefu kukomaa. Hukomaa baada ya miezi 4 hadi miezi 4 na nusu kutegemea na ukanda.
- Inarefuka sana kwenda juu hivyo si vema kuibananisha. Panda kwa sm75x30 one seed per hole.
Usiipande jirani na miti mikubwa huwa inaathirika sana na kivuli.
NB: Kwa sasa hii ndo mbegu inayopendwa sana na wakulima wa kanda ya kusini kwa mikoa ya Iringa,Njombe,Mbeya,Ruvuma,Rukwa na Katavi.Bei kwa kilo 2 inauzwa hadi 18,000,ikifuatiwa na DK 777 inayouzwa 15,000-16,000/=,na PANNAR 691.
Uchambuzi utaendelea kwa chapa tumbili 419 , 403na zinginezo.
Kilimo kinalipa km mkulima akiwa na taarifa sahihi.

- Panda mwanzoni mwa msimu kwani huchukua muda mrefu kukomaa km nilivyoeleza hapo awali.
- Uzuri wa hii mbegu km utaitunza vzr hubeba mahindi 2 makubwa na yenye punje nene.
- Punje zake ni nzito hivyo km utauza kwa kilo inalipa.