Aibu

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,780
Tunapo ongelea neno AIBU ndiyo pia ina maana ya HAYA ?
> Ningekwambia lakini nakuonea HAYA.
> Ningekwambia lakini nakuonea AIBU.
Semi hizo mbili ni kitu kilekile ? Au kuna tofauti ?.
> Muangalia vile umekaa na AIBU za kikekike.
> Hembu ongea acha HAYA kama mwanamke.
Vinginevyo katika jinsia zetu, Mwanamke amekua anahusika kwa kiasi kikubwa cha AIBUAIBU na HAYA kuliko mwanaume. Ni kitu kimezoeleka ukikuta She na He wamesimama wanaongea She hamudu kumkabili mwanaume kumuangalia uso kwa uso jua hapo kuna tongozo linaloendelea.
Unaweza kua na uhusiano wa kawaida na mwanamke na asiwe na Aibuaibu, ghafla mwanaume akiamua kubadili mahusiano yale kutoka kawaida kua ya penzi, basi hapohapo mwanamke huvaa taswira ya Aibu.
Dhamira yangu hasa hapa ninaomba taarifa za Kisayansi hii kitu aibu kwa nini iwe kwa wanawake zaidi kuliko wanaume ? Kitengo ama kichocheo kinacho'pruduce AIBU na HAYA vilivyoko katika Brain vina utofauti kati ya Mwanamke na Mwanamme ?
 
hapa mimi sijui ngoja wakuu wajee

faruu karim dochi vele visiwani pemba
 
Swali zuri sana.

Aibu na haya ni vitu viwili tofauti kabisa.

Aibu ni kufanya vitu ambavyo vinatilisha aibu, viti vile c vizuri upande wako, katika family yako, marafiki zako....Aibu ni kitu amabcho si kizuri kwa ujumla sema kuna badhi ya watu wanafananisha aibu na haya, wanasema yule anaibu yule sana, badala ya kusema yule ana haya sana.... Mtu asiye na aibu anaweza kufanya kitu kibaya mbele za watu bila kujali.

Haya siku zote ni ktu kizuri, mwenye haya siku zote ni mtu ambaye hafanyi mambo ya kutilisha aibu upande wake na kwenye family...Mtu mwenye haya hawezi kufanya vitu vya aibu mbele za watu....kwa ujumla mtu mwenye haya ni yule anaye fanya vitu vizuri, hatilisha aibu kwenye family yake...Kwa hivyo haya na Aibu ni vitu viwili tofauti kabisa.

Aibu=Baya

Haya=Zuri.

Kuhusu swali la je wanaume na wanawake tunapishan katika hayo...hapo tunapsihana kila kitu...Inategema na kila mmoja anatumia vipi akili yake.
 
Kwa kiasi flani angaa naanza kupata ung'avuung'avu kupitia fafanuo lako.
 
Peleka kwa wataalamu wa lugha.. jukwaa la lugha!

Punguza mkurupuko! Refar twicely thread hapakuulizwa mambo ya lugha! Hapa kumeombwa Source za kisayansi kwa agenda mezani. Usintilie shombo uzi, nakuheshimu sana tajiri yangu.
 
hebu tukutane unipige tongozo nione kama ntapata aibu/haya.

Natamani siku moja niexpiriensi hii kitu.
 
hebu tukutane unipige tongozo nione kama ntapata aibu/haya.

Natamani siku moja niexpiriensi hii kitu.

Tena ungejua nnavyokuvizia ! Kwa hilo ! Temea mate mbali yatoke Temeke hadi Kinondoni, hiyo siku ukibugi ukavinjari kunako my 18 za mimi historia ndiyo itaelezea !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom