Aibu ya Tanzania nje ya Mipaka

Katika hali ya kawaida haiingii akilini kuona Mods wanaiacha hii thread iliyojaa uchochezi na kutengeneza chuki kwa watanzania dhidi ya Kiongozi mkuu wa nchi. Huyu anayejiita RICHARD BRUNWICK hajawahi hata kufanya kazi nchini Tanzania katika ofisi za UNDP. Hilo mimi nimelithibitisha. Haya anayoyaandika sijui kayatoa wapi na ninapata kufikiri kuwa anatumika pengine na baadhi ya watu (watanzania) wenye chuki na utawala wa JK. Ondoeni bana.
Usimjadili mtu jadili yaliyoandikwa, usiwe retard kama mkulu
 
we ni msemaji wa ikulu????au ndo kiherehere????watanzania tunataaabika sababu ya watu kama nyie wachache msio na utu,NILITAKA NIKUTUKANE ILA BASI TUUU,unapoamua kutma ujumbe humu u must thunk twice,ucfikiri unawasiliana na mkeo hapa!!!!!!we are great thinker
 
Kama wao wana ubavu wa kujibu hoja kama walivyojibu juu ya ndege ya rais basi wajibu hizi shutuma dhidi ya Mkuu, wasaidizi na wananchi wote.. hovyo sana huyu jaamaa na vilaza wake
 
quote_icon.png
By VGL Katika hali ya kawaida haiingii akilini kuona Mods wanaiacha hii thread iliyojaa uchochezi na kutengeneza chuki kwa watanzania dhidi ya Kiongozi mkuu wa nchi. Huyu anayejiita RICHARD BRUNWICK hajawahi hata kufanya kazi nchini Tanzania katika ofisi za UNDP. Hilo mimi nimelithibitisha. Haya anayoyaandika sijui kayatoa wapi na ninapata kufikiri kuwa anatumika pengine na baadhi ya watu (watanzania) wenye chuki na utawala wa JK. Ondoeni bana.
Kwani kuna lolote la uongo hapo? Kama ni ukweli mtupu hakuna ujanja ila kuvumilia mkuki uchome mahali pake, haijalishi huyo kafanya wapi ila yaliyosemwa kama ni ukweli mtupu (nami naamini ni ukweli) basi mkuu na wapambe wake hawana budi kuvumilia maana ndivyo walivyo..
 
Katika hali ya kawaida haiingii akilini kuona Mods wanaiacha hii thread iliyojaa uchochezi na kutengeneza chuki kwa watanzania dhidi ya Kiongozi mkuu wa nchi. Huyu anayejiita RICHARD BRUNWICK hajawahi hata kufanya kazi nchini Tanzania katika ofisi za UNDP. Hilo mimi nimelithibitisha. Haya anayoyaandika sijui kayatoa wapi na ninapata kufikiri kuwa anatumika pengine na baadhi ya watu (watanzania) wenye chuki na utawala wa JK. Ondoeni bana.

VGL pole sana coz hii sredi imeonekana kukuchoma dhahiri, na waswahili husema UKWELI HUUMA... huyu jamaa cijui RICHARD BRUNWICK or whatever u call him awe amefanya kazi UNDP-Tanzania au hakufany... alichokiandika kina-umantiki na ni ukweli ambao yeyote atakaye upinga atafanya hivyo huku aibu imemtawala usoni mwake... naipenda Tanzania nawaonea huruma sana walalahoi wa Tanzania nawachukia viongozi-uchwara wa taifa la Tanzania kwa kuanzia na huyo huyo mnayemwita rais wa nchi... I REAL HATE HIM.. it is real a shame, ni aibu kubwa kwa nchi kubwa na yenye kila aina ya utajiri kuwa na raisi ambaye ktk kila hotuba ya mwezi anajisifia kwa kukopa na kukopesheka na mataifa ya kibepari.
Hakustahili kabisa kuwa rais wa nchi hii, hana mipango-mkakati ya kuleta maendeleo ya nchi in stead amekuwa maarufu kwa kufanya safari za nje tena zenye gharama kubwa na matumizi mabaya ya fedha (extravagance-person of the century...) tuseme ukwli na wala tusiiondoe hii sredi ili wa-Tanzania wajue uozo wa serekali yao, jamani mficha uchi hazai... na mficha maradhi kifo kitamuumbua, hivi kweli hatuoni kuwa tumeshaumbuka cc...??? hii ni AIBU na hatuwezi kuikwepa kwa propaganda-uchwara... VGL...
 
Back
Top Bottom