Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,094
Inashangaza sana kuona nchi iliyobarikiwa rasilimali kibao kukuta wafanya biashara waliotoboa ni wachache, WHY?
Mbaya zaidi karibu top 20 wote ni wageni waarabu na wahindii kina Bakhresa, Mo, GSM. bado nawaaita wageni sababu huwa wanaishi kivyao, huoana wao kwa wao, huzikana wao kwa wao, si watu wa kujichanganya sana na sisi watanzania wenye asili ya Kiafrika.
Tukija kwa wafanyaabiashara waliofanikiwa wenye asili zetu ni wachache sana waliotoboa.
Ukienda maeneo yanayosifika kuishi watu wanaojiweza si ajabu ukakuta wafanyabiashara wana nyumba nzuri zaidi kuliko wengine lakini idadi yao kwenye hayo maeneo ni ndogo, wengi waliojenga ni waajiriwa, mfano ukienda osyter bay, mbezi, upaanga, n.k. unawaeza kuta katika nyumba 100 ni 20 tu ndizo za wafanyabiashara.