Aibu kubwa makampuni ya Simu za mikononi Tanzania ( Safaricom inasimamiwa na malaika?)!

Shalom

JF-Expert Member
Jun 17, 2007
1,315
124
Aibu kubwa kwa nchi yetu inayoletwa na nyie nyie Airtel. Vodacom na Tigo kwa kukazania kuongeza minara Tanzania nzima huku mkiacha service yenu ikiwa mbovu kabisa. Huwezi amini kuwa ndani ya Dar hii maeneo mengi tu hupati kabisa reliable internet service. Hawa Vodacom ndiyo kituko kabisa eti wanagawa vibrochure kuwa unaweza kupata DSTV kwenye simu yako! Ma-- yenu. Kuload tu twitter just 7 km kutoka head quarter yenu unachukuwa saa nzima. Kama ninawaonea imenibidi leo niingie shule ili niweze kujua coverage ya hao majambazi ( maana kumwambia mtu eti tuna internet 3.7G halafu hamna kitu si ni ujambazi huo). Mtaalamu wa computer akanifundisha hebu na nyinyi jaribuni akaniambia kuwa unakwenda kwenye start halafu una type CMD halafu ikija c prompt una type tracert space Ip address simple tumia ya google 8.8.8.8 halafu angalia. Professionary inatakiwa ni 100ms for 3G na !40Ms kwa 2 G. lakini kwa hawa majambazi karibu kila kona ya hili eneo ni more that 2000 na time out kibao. HIvui hawa TCRA wapo kweli? TCRA kazi yao kubwa wanayoifanya hapa tanzania ni 1. Kupeana safari za kwenda Ulaya, kila staff anakwenda kwa wastani wa safari 3 kwa mwaka ulaya na kupata un necessary per diem. 2 kila staff anapewa mkopo wa kujega nyumba mradi alete hati ya kiwanja ( yaani shirika la umma limekuwa ni benki ya nyumba) Baada ya kufanya hivi basi wame waachia wezi kufanya wanachotaka. Hakuna checking wala nini ni full speed kuwaachia hawa majambazi watuibie hela zetu. Tunaibiwa kwa sababu hawa majambzi yanakuambia kujiunga unlimited kwa wiki ni TZS 10,000 wegine hata zaidi ukiwa posta wametegesha network yao vizuri basi unapata coverage nzuri sana. lakini posta pia watu wengi wanapata Wifi kutoka kwenye ofisi zao. Ngoma sasa pale unapotoka mjini kurudi huku wenyewe wanakoona kuwa hamna haja ya kuwa na coverage nzuri. Wiki nzima uliyolipia unaishia kupta kama Mb 200 kutokana na coverage yao. Huu ni wizi na TCRA wanatakiwa kuamka. Udhaifu wa CCM na viongozi wao basi unafanya tuibiwe kila kona hamna wanalosimamia na kufanikiwa. Kazi yao ni kueneza tu habari za Fremason basi sasa kila mtu yuko kwenye site za Free mason na network yenyewe ndiyo hiyo. Afadhali hawa wezi wangelipa kodi kwa wizi huuu lakini hata kodi hawalipi. Shame on you all ( Vodacom, Tigo, Airtel and hili ***** TCRA)
 
Airtel ndio wana coverage kubwa Tanzania kuliko kampuni nyingine yoyote. Vodacom ni wazuri sana kwa kupiga kelele lakini maeneo mengi Tanzania coverage yao ni mbovu sana.
 
Mkuu makampuni yote hayo yako under MAFISADI.. Bado hawajarridhika na kutunyonya shenzi hawa.. Kwenye bajet wanaongeza ushuru ili watukamue hata na kiduchu tulichonacho..Baaasi nyamaza kulia Mkuu.. Hapa nima maumivu kiasi kuna mda nafikiri haka ka laptop kangu kamezeeka,Aaagh.. kumbe ni....... Aagh.. acha nikae kimya nicje pigwa Ban..
 
Shalom una hasira na makampuni yoote ya simu!!hivi kwa mfano unaweza ukawapa ushauri gani kuboresha hizo huduma zao mbovu?badala ya kulalamika tu bila kutoa suluhisho wafanye nini zaidi ili kufika unapopataka?
 
kila siku najiuliza hivi hii seacom na hawa etisalat ndio wametuletea matatizo yote haya, they proclaimed gharama za intenet zingeshuka by 40% ila sasa wamegundua watu wengi wanatumia internet gharama imekuwa juu balaa, hiyo voda bomba30 tulikuwa tunalipia 30,000/= na kupewa 100GB, ambazo sikuwahi kuzimaliza, leo hii wanakupa 2GB then 64kbps. Ni upuuzi mtupu. internet imekuwa gharama balaa, na kila siku wanaendelea kutubana pasipo maelezo.
 
Huna haja ya kutukana mtafute January Makamba mpe malalamiko hayo. Na kama huwezi kumpata kwa simu basi mtumie ujumbe kwa facebook na copy tuma tcra.
 
Hawa wazungu wanatuibia halafu tunacheka tu ..hasa hawa Airtel wanatangaza wanatoa speed ya 3G. kumbe wezi tu...page kufunguka inachukua zaidi ya dakika mbili....tunaibiwa mchana kweupee.....halafu lile tangazo lao la 3G sijui kwa nini linaendelea kurushwa.....f word them alllllll
 
Haya makampuni huko kwao yanatoa huduma nzuri...mfano hawa Airtel huko india wanatoa unlimited internet speed upto
3 mb/sec download speed kwa Rupees 300 tu kwa mwezi itakuwa imeshuka bei kwa sasa...hii ilikuwa miaka miwili iliyopita.lakini hapa wanayotufanyia huwezi kuamini..kwa nini tusiwatoe baruti hawa mbwa !
 
Ulafi wa viongozi wa siasa kwenye hayo makampuni ndiyo umeifikisha nchi hii kwenye mkwamo.
 
Kweli dawa iliyopo ni kung'oa mizizi yao tu, hawa magamba ndio wanaotufanyia haya yote.
 
Huna haja ya kutukana mtafute January Makamba mpe malalamiko hayo. Na kama huwezi kumpata kwa simu basi mtumie ujumbe kwa facebook na copy tuma tcra.

Mkuu hao TCRA ni HOVYO kabisa... jiulize hadi leo hamna hata kampuni ya Simu inayojua idadi kamiki ya wateja wao waliosajiliwa.. na hata leo line ziczo sajiliwa ziko hewani ba TCRA wanalytambua hilo.. DHAIFU + DHAIFU - DHAIFU = Jaza hapo
 
Airtel ndio wana coverage kubwa Tanzania kuliko kampuni nyingine yoyote. Vodacom ni wazuri sana kwa kupiga kelele lakini maeneo mengi Tanzania coverage yao ni mbovu sana.

Na ndio wanaolipa kodi kubwa kuliko makampuni yote in TANZANIA.
 
NIna Imani bwana January Makamba atalifanyia kazi hili! KImsingi huu ni wizi mtupu, yako mengi ambayo yanachefua na simu zetu hizi, ila wanachukulia poa kuwa watz ndo mara tuu wameshobokea mobile phone technology na kwa hiyo hata ukiwadanganya itakuwa poa. Wanasahau wapo watz wenye exposure ya kutosha na hao ndo wanawafungua macho wenzao

Back
Top Bottom