Aibu gani hii!

Huyu askari na kitambi chake cha Maharage yaelekea mkewe heshi kulamba vibao kila uchao.

Hivi akimkamata huyu mama ataishia Kumchapa ufimbo tu au ataongea na ukuni juu?
Polisi wetu na vituo vya polisi wana vijambo kila siku,

Afande inaonekana kadhamiria kweli?

Mama malapa mkononi tayari kwa marathoni. Silaha yake kubwa hapo ni wepesi wa miguu yake tu.

Hii picha imenikumbusha ili Movie kabambe ya SARAFINA. Tena huyo mdada anafanana naye kweli!

Kwa hiyo huyu bwana yote hiyo ni danganya toto ana lake jambo.
 
MADELA WA MADILU,Heshima kwako mkuu
Umetaja kumbukumbu ya filamu ya SARAFINA ukilinganisha na picha hiyo.HUO NDIO UKWELI.Hakuna tofauti hasa ukizingatia sababu zilizowafanya wakina mama hao wandamane ni kunyanganywa ardhi yao na kutaka kumuona kiongozi wao wazungumze kwa amani.Walichokipata ni kipigo na kukoswakoswa risasi,maana zimefyatuliwa.
Kwa mwendo huu kuna sababu gani Serikali hii isifananishwe na ile ya JOHN VOSTER? au IAN SMITH? Maana hao tulishawasahau sasa wanatukumbusha enzi zile na kutusononesha.
 
Aibu gani hii! Hivi ni nili tutaacha tabia kama hizi katika karne ya 21?

mkjjudsmbm4.jpg


Askari kanzu wa Kituo cha Polisi Wazo Dar es Salaam
akimkimbiza mwanamke huku akimcharaza viboko baada ya watu
zaidi ya 100 kuandamana hadi kwenye kituo hicho wakitaka
wenzao watano waliokamatwa juzi katika Kijiji cha Madala Kati waachiwe huru.
(Picha na Yusuf Badi).
mmmmmmhhhhhh
 
Wakuu, heshima mbele lakini pole pole huyu mama tunajua alichofanya? Vipi kama aliwatishia askari huko ndani an bastola? I mean what is going on wakuu mbona tunaanza kuwa too emmotinal na none-ishus? Hii ni picha tu iliyotolewa na mpiga picha ambaye hatujui kama ni mfuasi wa chama cha siasa au mtandao, au asilia au upinzani, maana asingekuwa, angetuwekea all the facts ambazo ukweli zinaonekana ku-miss ili tuweze kutoa uchambuzi, exactly hii picha inasema nini? eti huyo mkuu ni askari kanzu kweli? Hivi ni kweli kwa hii picha unaweza ku-conclude kuwa anamfukuza huyu mama na kumchapa viboko?

Hivi hawawezi kuwa wanancheza mchezo wa kujificha? Anyway, heshima mbele kwa kutuletea picha hiii!

Kwa hiyo kwa kuwa ametishiwa bastola basi ana haki ya kumdhalilisha kwa kumchapa viboko hadharani.

Anyway nkishavimbiwa hizo ndiyo lugja zenu.Mnashindwa kuangalia utu mnaangalia ni wa chama gani.Kwa hakika UVCCM mnatia aibu
 
Back
Top Bottom