MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 2,847
- 3,567
Kuna viwanda bila uhakika wa maji.Acha kujitoa ufahamu jombaaMkandarasi akishindwa kutekeleza mkataba ananyang'anywa passport? Tena na rais? Hadharani? Halafu anapigiwa vigelegele? Huyu kweli ni rais wa misifa tu (cheap popularity).
Jamaa keshatuona Watanzania ni zaidi ya vilaza. Yaani hatuna hata chembe ya fikra zaidi ya kushangilia kila ujinga. Yaani, wapumbavu kabisa. Haya tuone tutaendelea hivi hivi hadi lini kuifikia hiyo Tanzania ya viwanda.