Afya ya Lwakatare YAZOROTA

Kwa hiyo nyinyi kushangilia UDINI ni sawa? Mbona shehe ILUNGA hakamatwi?
Acha kujichoresha mkuu, wewe kama huna la kusema si bora uwe msomaji,tumekusikia lakini unarudia maneno yale yale, hivi wewe kwanini unafikiri kila anae ipinga cdm ni mwislamu? Au ndio unataka kuaminisha watu kuwa cdm ni ya wakisto?
 
TAYADI tumeshuhudia wakina shekhe ponda na farid mpaka leo wamekosa dhamana siamini kama unachokisema kina ukweli wowote, the point is Lwakatare alikuwa ana operate kama yeye au chini ya mwamvuli wa chadema ? uhalifu ni uhalifu tu uwe umefanywa na muislam au mkristo.

Hao woote unaowasema hawana mgogoro na wakristo!... Hata mimi sioni sababu ya wao kukaa ndani, kwa mfano FARIDI alikuwa akifanya kazi yenye baraka zoote za serikali lakini wanamshikilia kwa sababu zao!...

KUTOMKAMATA USTAADHI ILUNGA NI UUAJI NA UNYAMA!... KUTOMKAMATA ILUNGA NI UDINI MBAYA KUPINDUKIA!....

MAAGIZO YA ILUNGA kwa waislamu kuua wakristo yangekuwa yamefanywa na mkristo dhidi ya waislamu ISINGECHUKUA HATA MASAA 6 angekamatwa!!!!!!... LAKINI SASA NI MIEZI 6 SHEHE ILUNGA HAJAKAMATWA!
 
Wewe sio mkristo.
 
Acha kujichoresha mkuu, wewe kama huna la kusema si bora uwe msomaji,tumekusikia lakini unarudia maneno yale yale, hivi wewe kwanini unafikiri kila anae ipinga cdm ni mwislamu? Au ndio unataka kuaminisha watu kuwa cdm ni ya wakisto?

Vyama vya siasa havina dini na ndiyo msingi wa usajili.....ILA KUTOMKAMATA USTAADHI ILUNGA NI UUAJI NA UNYAMA!... KUTOMKAMATA ILUNGA NI UDINI MBAYA KUPINDUKIA!....

MAAGIZO YA ILUNGA kwa waislamu kuua wakristo yangekuwa yamefanywa na mkristo dhidi ya waislamu ISINGECHUKUA HATA MASAA 6 angekamatwa!!!!!!... LAKINI SASA NI MIEZI 6 SHEHE ILUNGA HAJAKAMATWA!
 
Usidanganye hata kidogo mimi ni mkristo ninayeujua ukristo!... Mashahidi wa Yehova hata kujadili siasa hawataki. Huwezi kumkuta shahidi wa yehova anausaka udiwani, ubunge, wala kushabikia siasa!....

Shehe ILUNGA kwa nini hakamatwi?!!!!!!!!

wewe ni mashahidi wa yehova then unajiita mkiristo?wapi na wapi?
 
Dunia hii haina haki kabisa! Kwa Allah tu ndo haki ya kweli itapatikana... Nina wasiwasi na hii video ya kupanga mauaji au mipango yoyote ya kumdhuru mtu yafanyike katika open space kama ile na still kwa sauti kubwa vile ina walakini... Fahamu nyote mnaojihusisha na mambo kama haya siku moja mtahukumiwa kwa matendo yenu na si muda mrefu... Ya Allah tujaalie tuwe na busara na hekima siku zote na tufikiri kabla ya kutenda, sio tutumiwe tu bila kufikiria na kuweka ubinaadamu mbele haya maisha ni mafupi na yanapita tu
 
Kwani Mashahidi wa Jehova sio wakristo? Tofauti yetu ni kwamba hatuamini kama yesu ni Mungu. Mungu ni Jehova peke yake hana mwenza.

Dini ya kikristo ni moja!.. Ina madhehebu kibao!.. Jehovah's witness ni moja ya madhebu hayo ambamo hata mimi nimeshirikiana nao!...

KUTOMKAMATA USTAADHI ILUNGA NI UUAJI NA UNYAMA!... KUTOMKAMATA ILUNGA NI UDINI MBAYA KUPINDUKIA!....

MAAGIZO YA ILUNGA kwa waislamu kuua wakristo yangekuwa yamefanywa na mkristo dhidi ya waislamu ISINGECHUKUA HATA MASAA 6 angekamatwa!!!!!!... LAKINI SASA NI MIEZI 6 SHEHE ILUNGA HAJAKAMATWA!
 
Hao woote unaowasema hawana mgogoro na wakristo!... Hata mimi sioni sababu ya wao kukaa ndani, kwa mfano FARIDI alikuwa akifanya kazi yenye baraka zoote za serikali lakini wanamshikilia kwa sababu zao!...

KUTOMKAMATA USTAADHI ILUNGA NI UUAJI NA UNYAMA!... KUTOMKAMATA ILUNGA NI UDINI MBAYA KUPINDUKIA!....

MAAGIZO YA ILUNGA kwa waislamu kuua wakristo yangekuwa yamefanywa na mkristo dhidi ya waislamu ISINGECHUKUA HATA MASAA 6 angekamatwa!!!!!!... LAKINI SASA NI MIEZI 6 SHEHE ILUNGA HAJAKAMATWA!
Ilunga sheikh, anatekeleza mkakati maalumu wa mwenyekiti wa mtandao. Kuwapa hard-time wakristo kwa kipindi hiki ili kulipiza mambo waislam waliofanyiwa na mfumo Kristo huko nyuma. Na bado kuna miaka mingine 10 baada ya 2015 kwani wanataka angalau ku-compasate muda waliotawala wakristo.
 
Wewe sio mkristo.

Wewe ni mwislamu!

Haya maneno!.. Anatimiza maagizo ya mfumo ISLAMU!.. Mahakama ya kadhi kwa kodi ya wakristo kwa waislamu inakuja kukamilisha mfumo islamu
 
Dini ya kikristo ni moja!.. Ina madhehebu kibao!.. Jehovah's witness ni moja ya madhebu hayo ambamo hata mimi nimeshirikiana nao!...

KUTOMKAMATA USTAADHI ILUNGA NI UUAJI NA UNYAMA!... KUTOMKAMATA ILUNGA NI UDINI MBAYA KUPINDUKIA!....

MAAGIZO YA ILUNGA kwa waislamu kuua wakristo yangekuwa yamefanywa na mkristo dhidi ya waislamu ISINGECHUKUA HATA MASAA 6 angekamatwa!!!!!!... LAKINI SASA NI MIEZI 6 SHEHE ILUNGA HAJAKAMATWA!
jehova witness sio wakristo uache kutudanganya tayadi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom