Afya ya Lwakatare YAZOROTA

Asipewe hata maji huyo, mpaka awataje wote.

Haya jengeni mfumo ISLAMU kwa kukamata wakristo!.. Ni tatizo la kutoruhusu kichwa chako kufikiri!.. Shehe ILUNGA ametoa CD iliyorekodiwa bila kificho na kutoa maagizo kwa waislamu waue MAASKOFU, MAPADRE, WALEI na wakristo wengine. CD hii imeenea kila mahali na kila mkoa ipo. Makanisani na misikitini inajadiliwa!.. CHA AJABU HUYU KWA KUWA NI MWISLAMU HAJAKAMATWA ni miezi 6 tangu atende uhalifu huu!... Matokeo ya maagizo yake tumeyaona makanisa 26 yamechomwa moto bara na visiwani, padre mmoja kauawa, mmoja kajeruhiwa kwa risasi na mchungaji mmoja kauawa.
 
kwa hiyo kwa hiyo nawewe unataka kuwa wa daraja la juu kwa kuwa mkulupukaji? Huu ni ujinga na watu kama wewe ndio mnao irudisha nyuma hii nchi

Kwa hiyo nyinyi kushangilia UDINI ni sawa? Mbona shehe ILUNGA hakamatwi?
 
Agosti mwaka jana Shehe ILUNGA katoa maagizo wakristo wauawe!... Leo anapeta!... kwa SABABU tu anatoka dini ya wakubwa wa nchi!.. Lwakatare (mkristo) kakamatwa waislamu mnashangilia!.

Udini utakuua kijana!

Ukipigania haki siku zote unapaswa kufanya hivyo bila kuangalia dini, rangi au kabila la mtu.

Pole sana, nafsi yako itakusuta.
 
Nashangaa kuona watu wana mpinga Pasco kwa kusema video ya lwakatare ni genuine and at the same time wao wanataka tuamini kuwa video imetengenezwa kwa vigezo vyao ili hali na wao hawana ujuzi ktk video foreinsic.
Kama tunataka haki itendeke tuliachie jeshi la polisi limuhoji lwakatare juu ya kile alicho kizungumza kwenye video.

Mbona shehe ILUNGA HAHOJIWI? Yuko above the law au dini yake inambeba?
 
Last edited by a moderator:
Tumuombe uzima na salama, maana mahabusu za polisi wetu na baadhi ya mbinu chafu za mahojiano, Mungu bariki Rwakatare sio tuu ni public fugure, bali pia anazijua hakizake mikononi mwa polisi!, angekuwa ni mwenzangu za mimi, saa hizi angekuwa umekwisha sema kila kitu!.

Pamoja na yote, mimi nimeiangalia clip ile na kujiridhisha ni "bonafide genuine!".

Pasco.
Vipi Pasco na wewe unafanya kazi OBR nini???
 
Last edited by a moderator:
Sijasema kama wewe ni Pasco Mayalla, i was just thinking out 'LOUDLY' kutokana na maelezo uliyotoa mwenyewe. Anyway, sorry kwa kukukwaza, mods spare me from 'BAN'.:sorry:

Kwa hiyo anaogopa kujulikana?!... Kama unachoposti ndiyo msimamo wako na ndiyo ukweli unaouamini kwa nini uogope PASCO?!...
 
Adui ni 100 times better than Yuda Iskariot!.
P.

Really,what is the correlation and what is the distinction philosophically?Huoni ni hero na villain at sometimes kulingana na stance ya anayeona?Look at Jesus' life and you'll see that it is all about fulfilling prophesy. To my mind, Judas was merely another tool used to complete the prophesies. In that respect, he was chosen. Chosen for his weakness.

Imagine if Jesus had not been crucified - Christian would not have benefited from his blood of salvation. So the blood of Jesus was important for the souls of the christians.

So who are the people instrumental in ensuring that Jesus shed his blood for Christians? I think there are God, Jesus, Judas, Jewish Priests, Pilate, Roman Soldiers, etc, etc. I submit that these individuals should occupy a special place in the hearts of Christians for ensuring that Jesus's blood was shed for them.

Now, imagine if Judas had not performed his role so perfectly. The roman soldiers would have been unable to identify the real Jesus and may have picked up someone else, say Peter, and crucified him instead. Would the blood of Peter have had the same salvadic powers that of Jesus?
Pasco next time choose your words carefully,usisababishe wanaJamvi tukatoka nje ya mada
 
Udini utakuua kijana!

Ukipigania haki siku zote unapaswa kufanya hivyo bila kuangalia dini, rangi au kabila la mtu.

Pole sana, nafsi yako itakusuta.

Ingekuwa ninyi siyo wadini mtu yeyote angejifunza kwa msimamo wenu mzuri!... Nimepitia saaaana post zenu na baadhi ya wenzako nimejua FURAHA YENU NI KUU MNO kwakuwa LWAKATARE - mkristo amekamatwa. Nasi tunashangazwa saaana kuona SHEHE ILUNGA kawatangazia hukumu wakristo lakini mpaka sasa yuko mtaani kwa sababu tu yeye ni mwislamu!.
 
padre mmoja kauawa, mmoja kajeruhiwa kwa risasi na mchungaji mmoja kauawa.

Inawezekana kabisa kuwa waliomuua au kujeruhi walikuwa waumini wa dini lakini motive yao ilikuwa ni nini?

Hilo ndilo swali unalopaswa kujiuliza. Kwa mfano walimshambulia kibanda wanaweza kuwa wakristo/ waislamu lakini sababu isiwe dini ya Kibanda au ya wauwaji.

Vile vile usibabaishwe sana na jina Padri au shehe wakati mwingine wote hao huwa wana maovu yao nje ya title wanazoshikilia.

Kama akili ziko timamu si kila wakati unaposikia padri ameshambuliwa ukahusisha na dini yake.

Often times inaweza kuwa ni ujambazi, drug deals na sababu nyingine nje ya dini. Panuka akili.
 
hilo swali kawaulize jeshi la polisi. au leo umekosa imani nalo kwa sababu kiongozi wa chadema amekamatwa ?
 
Ingekuwa ninyi siyo wadini mtu yeyote angejifunza kwa msimamo wenu mzuri!... Nimepitia saaaana post zenu na baadhi ya wenzako nimejua FURAHA YENU NI KUU MNO kwakuwa LWAKATARE - mkristo amekamatwa. Nasi tunashangazwa saaana kuona SHEHE ILUNGA kawatangazia hukumu wakristo lakini mpaka sasa yuko mtaani kwa sababu tu yeye ni mwislamu!.

Mimi ni shahidi wa Jehova lakini sikubaliani na wewe kwa kauli zako za chuki.

Kama mungu angetaka asingeshindwa kutufanya wote kuwa waumini wa dhehebu moja.

Simamia ukweli ulipo irrespective of whether ni dini yako au la.
 
Mbona shehe ILUNGA HAHOJIWI? Yuko above the law
au dini yake inambeba?

hilo swali waulize jeshi la polisi au leo umekosa imani nao kwa sababu kiongozi wa chadema amekamatwa ?
jibu swali la mbogo.
naona ushaanza kuingiza udini
 
Mungine huyu,mzee tatizo la lwakatare sio tuhuma wala kushtukizwa nyumbani kwake ni video inayomuonyesha akipanga njama za kufanya uhalifu,msijaribu kupotosha hii,naona toka juzi mko busy kujaribu kufanya cover up badala ya kutafuta motive behind iliyomsukuma lwakatare kupata mkakati huo huku akijirekodi!
Mbona video ya shehe ilunga iko mtaani kwa miezi 6 mpaka sasa?!... CD ya ILUNGA ina uzito sawa na ya Lwakatare?.. Lwakatare amekamatwa kwa ukristo wake!.. Asingekuwa mkristo hata mijadala hii isingekuwepo!...
 
hilo swali waulize jeshi la polisi au leo umekosa imani nao kwa sababu kiongozi wa chadema amekamatwa ?

MFUMO ISLAMU upo kazini!... Je ikiingia mahakama ya kadhi si wakristo watapotezwa kila kukicha?... Ya mwislamu kutokamatwa mnasema waulize polisi. Ya wakristo midomo juu!.
 
Mimi ni shahidi wa Jehova lakini sikubaliani na wewe kwa kauli zako za chuki.

Kama mungu angetaka asingeshindwa kutufanya wote kuwa waumini wa dhehebu moja.

Simamia ukweli ulipo irrespective of whether ni dini yako au la.

Usidanganye hata kidogo mimi ni mkristo ninayeujua ukristo!... Mashahidi wa Yehova hata kujadili siasa hawataki. Huwezi kumkuta shahidi wa yehova anausaka udiwani, ubunge, wala kushabikia siasa!....

Shehe ILUNGA kwa nini hakamatwi?!!!!!!!!

Mbona video ya shehe ilunga iko mtaani kwa miezi 6 mpaka sasa?!... CD ya ILUNGA ina uzito sawa na ya Lwakatare?.. Lwakatare amekamatwa kwa ukristo wake!.. Asingekuwa mkristo hata mijadala hii isingekuwepo!...

Ok tuseme basi huyo jamaa Bw.Lwakatare anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya Dini yake na Serikali yetu ina Udini, sasa umeridhika? Na unataka nini tena?
 
Usidanganye hata kidogo mimi ni mkristo ninayeujua ukristo!... Mashahidi wa Yehova hata kujadili siasa hawataki. Huwezi kumkuta shahidi wa yehova anausaka udiwani, ubunge, wala kushabikia siasa!....

Shehe ILUNGA kwa nini hakamatwi?!!!!!!!!

Kwani Mashahidi wa Jehova sio wakristo? Tofauti yetu ni kwamba hatuamini kama yesu ni Mungu. Mungu ni Jehova peke yake hana mwenza.
 
TAYADI tumeshuhudia wakina shekhe ponda na farid mpaka leo wamekosa dhamana siamini kama unachokisema kina ukweli wowote, the point is Lwakatare alikuwa ana operate kama yeye au chini ya mwamvuli wa chadema ? uhalifu ni uhalifu tu uwe umefanywa na muislam au mkristo.
 
Inawezekana kabisa kuwa waliomuua au kujeruhi walikuwa waumini wa dini lakini motive yao ilikuwa ni nini?

Hilo ndilo swali unalopaswa kujiuliza. Kwa mfano walimshambulia kibanda wanaweza kuwa wakristo/ waislamu lakini sababu isiwe dini ya Kibanda au ya wauwaji.

Ndiyo maaana nakwambia wewe ukristo huujui!... Kibanda siyo UDINI. KIFO CHA PADRI MUSHI NA UCHOMAJI wa makanisa huwezi kuutenganisha na maagizo ya shehe ILUNGA na harakati za waislamu kuivuruga nchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom