Afukuzwa Kazi Kwa Kuanza Kula Kabla ya Bosi Wake

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Bi. Magdalene. H (59) wa mji wa Dortmund, Ujerumani alisimamishwa kazi baada ya miaka 34 kama sekretari wa kampuni ya ujenzi ya Westfalen, kwasababu alikula chakula kabla ya kupewa ruhusa na bosi wake.

Magdalene ameamua kwenda mahakamani kupinga kuachishwa kazi kwa sababu hiyo.

Tukio hilo lilitokea mwezi julai mwaka huu wakati Magdalene kwa kushirikiana na wafanyakazi wenzake walipoandaa sandwich na burger kwaajili ya wageni wa bosi wake waliokuja kwenye mkutano wa kampuni hiyo.

Baada ya kila kitu kuwa tayari, Magdalene alijisevia mwenyewe sandwich na burger na kuanza kula.

Wafanyakazi wenzake waliposhtukia kupungua kwa sandwich na burger katika chakula walichokiandaa, walimtaarifu bosi wao ambaye alimuita Magdalene pembeni na kumfukuza hapo hapo.

Wakili wa Magdalene alisema kwamba kulikuwa hakuna tatizo lolote Magdalene kujisevia chakula hicho kwani kwa kawaida katika kampuni hiyo chakula kinapobaki baada ya mikutano wafanyakazi hujisevia.

"Alitakiwa apewe onyo na asingerudia tena", alisema wakili wake Wolfgang Pinkepank.

Lakini kampuni hiyo ilikataa kubadili uamuzi wake na miaka 34 ya Magdalene kazini ilimalizika namna hiyo.

"Magdelene ana miaka 59 hawezi kuajiriwa sehemu nyingine yoyote, alisimamishwa kazi bila sababu ya msingi", alisema wakili wake.

Pande zote mbili zilikutana jana kwenye mahakama ya ajira na hata jaji wa kesi hiyo alionyesha kuwa upande wa Magdalene na alimtaka mwajiri wake abadili uamuzi wake amrudishe kazini na kumpa onyo.

Lakini meneja mtendaji wa kampuni hiyo alikataa ombi hilo na aliendelea na msimamo wao wa kumfuta kazi Magdelene.

Kesi hiyo imepangwa kuanza kusikilizwa mahakamani januari 2010.

Source: Bild Bi. Magdalene. H (59) wa mji wa Dortmund, Ujerumani alisimamishwa kazi baada ya miaka 34 kama sekretari wa kampuni ya ujenzi ya Westfalen, kwasababu alikula chakula kabla ya kupewa ruhusa na bosi wake.

Back
Top Bottom