Afufuka Baada ya Siku Saba!

ukipewa hiyo suruali unayosema amevaa wewe utaivaa? nijuavyo mimi kuna suruali za kiume ambazo mwanamke hatakiwi kuzivaa na pia kuna za kike ambazo huvaliwa na mwanamke.

.
Leta ushahidi wa kimaandiko juu ya suruali ya kike.
Na kama utaupata basi hapana budi pia kutakuwana gauni na sketi ya kiume
.
 
Hamjalazimishwa kuamini lakini msiwapoteze wale wadogo kwa kutoamini kwenu, Mungu atusamehe na atufunulie maono yake kwa kadri ya mapenzi yake.
 
Ndugu zangu wana JF,
Lazima tuwe waangalifu katika siku hizi za mwisho. Mtupe Paul anasema ‘zichunguzeni kila Roho’. Bwana Yesu alipo ulizwa na wanafunzi wake juu ya siku za mwisho, tahadhari ya kwanza ilikua ‘… angalieni mtu asiwandanga’nye’ (Mathew 24 :4). Kipindi tunacho ishi ni kipindi hatari, tusipokua makini kwa kusoma neno la Mungu, ‘itakula kwetu’
Uongo wa kwanza wa shetani kwa mwanadamu ulikua ;Mwanzo 3:4 ‘… Ye shall not surely die’. Contrary to what God said in Genesis 2:17 ‘….thou shalt surely die’.
Kwahio mtu yoyote akijitokeza na kuanza kutoa ushuuda au somo juu ya wafu lazima tumchunguze kwa makini kwa kutumia neno la Mungu, maana ungo wa shetani katika Mwanzo 3:4 upo pale pale, na shetani anatumia Biblia kupitia kwa watumishi wake kuendeleza udanga’nyifu wake ule wa mwanzo
Kwa maelezo ya Huyu bwana Tuwagaraimana, ni dhati kabisa kwamba jama ni muongo. Kama kweli alikufa na kazikwa, basi huyu ni shetani au mailaka wa shetani trying to impersonate the original Tuwagairaimana who is already in the grave rotting/roten. Kumbukeni shetani amewai ku impersonate Nabi Samwiri (1 Samwiri 28:3-25)
So Emanuel Twagaraimana is a spiritualist/medium at work. Other prominent mediums include Allison DuBois, Carla Mae,Sylia Browne, Lisa Williams,….
Mafungu yafuatayo ya zingatiwe Zabuli 146:4, Ayubu 7:10, Ayubu 14:21, Muhubiri 9:5, an mengine mengi.
Remember, ‘demons can- in a limited sense- sometimes foretell the future (1Samuel 28:3-25). Those who trust fortune tellers should be aware of this. Just because a person (like Babu wa Liliondo), or a spirit, accurately predicts some pending event, this is no proof of divine inspiration.
Otherwise I call such people or spirits ‘Demons in Disguise ‘D.I.D
 
Hamjamsikia mwingine anaitwa israel yuko efata? Naye pia anadai alikufa na kupelekwa mbinguni na kurudi. Ukimsikiliza kwa jinsi ambavyo haumi maneno na anavyotiririka kwa mpango utameza tu
 
Hamjamsikia mwingine anaitwa israel yuko efata? Naye pia anadai alikufa na kupelekwa mbinguni na kurudi. Ukimsikiliza kwa jinsi ambavyo haumi maneno na anavyotiririka kwa mpango utameza tu

.
Mwache atiririke eyemwenyewe ndie atakaepotea na wale wote wenye deal moja nae ambao kwa kujikinai wameyakataa mafundisho ya Yesu Kristo kwa kujenga msingi juu ya ndoto na mafunuo yaliyo kinyume na yasiyoungwa mkono na maandiko. Wale wanaowafuata kwa kutokujua kwao maandiko wana kipindi cha neema. Kwani katika isaya 35 inawazungumzia kuwa wajapokuwa wajinga, hawataipotea njia. Maana yake ni kwamba mjinga hujifunza na kama hataki kujifunza basi huwekwa katika kundi la wapumbavu ambao hawana udhuru. Wajinga jifunzeni basi mkaukimbie huo mtego wa shetani, kukiwa kungaliko mda bado kwa ajili yenu.
.
 
hahahaha... hiii kweli ngumu kumeza!!! kama muvi vile.. tehtehehe!!
 
Back
Top Bottom