Nadhani hii debate inazidi kupinda, kama Tanzania walifanya makosa kumvamia Idd Amin wa Uganda basi Kenya nayo inafanya makosa kwenda Somalia kupigana na Al-Shaabab!!!
What I dont understand and what Kenya doesnt want explain to us, ni kwanini Kenya wanataka kila wanachosema/demand basi Tanzania iseme YES? As a sovereign nation Kenya has its own priorities and so is Tanzania. Sasa kwa nini Kenya wanaoenekna ku-discount hilo? Hivi wanaamini Tanzania haijui nini cha kufanya au Tanzania haina priorities?
Na haiwezekani kuwa na EAC inatakayo-accommodate interests za individual member state? Kuwa na uchumi mkubwa does not mean that Kenya has the right to dictate how other country should run its affairs. Yes, uchumi wa Tanzania bado ni mdogo kulinganisha na Kenya, lakini siyo jukumu la Kenya kuinua uchumi wa Tanzania.
Tukichukulia mfano EU, Germany ndio number 1 kwa uchumi mkubwa, France nayo wanawazidi UK, lakini ndani ya EU, UK imeamua kutojiingiza kwenye mambo fulani fulani i.e single currency, visa kwa sababu wanazozijua wao kama nchi.
Tukurudi kwenye hii EAC Tanzania imeshasema ni yapi wanakubaliana nayo na yapi yarekebishwe ili yaendane na national interest zake. Tatizo ni nini?
Mimi nadhani Kenya wamejiaminisha mnooooo kuwa Tanzania hawajui mbele wala nyuma! hivyo wanapoleta ngonjera zao na zikakataliwa wanahamaki maana hawakutegemea Tanzania wanajua 'kusoma na kuandika'! Wamesahau kabisa kuwa tunajuana vilivyo, tuna experience ya muda (EA community ya 1970s).
Kuna thread moja nilisoma mdau mmoja akisema kuwa itachukua 103 years kuifikia Kenya! Sikujibu na sitoijibu kwa sasa ila tuombeane uzima hadi walau 2020! Ninachoweza kusema Kenya walikosea sana kutoharakisha mambo yao wakati wa mzee wa Valuer - Mkapa. Yule alikuwa anapata viroba vyake asubuhi ana-sign makaratasi. Bahati mbaya sana!