Afrika, Afrika inavyo...

Wakati USA anatuletea vita, China anatumia msuli wake kiuchumi kushindana na AFRICOM.

Chinese President Hu Jintao on Thursday offered $20 billion in loans to African countries over the next three years, boosting a relationship that has been criticised by the West and given Beijing growing access to the resource-rich continent.

Zaidi hapa Link China strengthens Africa ties with $20 bln in loans | Top News | Reuters
 
Obama ni mtu mbaya kuliko wale wazungu...ameifanyia Afrika unyama mkubwa sana...
 
USA haijafanya lolote zuri kwa Africa. Kujihusisha kwa na Africa siku zote ni kwenye vita na mizozo ambayo wenyewe waimeichochea. Wanajaribu kuivuruga Congo sababu ya Wachina wana fanya mabo mengi huko.
 
Back
Top Bottom