African Food lol

Moja kwa moja tunaonekana ni watu tunapenda kula na tunapenda kula tukiwa wengi. sio kina fulani wanapakua kidogooooo, tena wamesha kupimia katika sahani lako eti "one portion"... Mwafrika ni mtu wa watu bwana!
 
Tatizo letu sisi waafrika hatusomi vitabu vya lishe bora.Hatujui vyakula vipi vina high carbohydrates,protein and calories.Ukiangalia kwenye hizo picha utaona vyakula vingi ni vina high carbohydrates na kama wewe ni mnywaji wa soda na bia na GYM haukanyagi lazima kitambi kiote na mascles zipotee.
 
okra.jpg
2795977012_5e126f575b.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom