African Birthday.....

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
7.jpg
Kaunga mwaJ zomba MziziMkavu Ndahani karibuni
 
Last edited by a moderator:
Halafu hii inaonesha asubuhi na mapema, maana birthday boy naona bado yupo kitandani. Surpriiiiiiiiiiise!
 
Boflo wewe wapi bwana? Hata keki za Bakheresa zile za book book unashindwa kununua unaishia kwenye ugali mkubwa kama na wewe msukuma?
 
kitu cha NGUNA(TANZANIA) a.k.a FUFU(CONGO, WEST AFRICA) a.k.a BAMBARA(MALI)
 
Hii imetulia sana, kwa kuenzi mila zetu tulitakiwa kufanya hivyo. mi ningeiboresha zaidi kwa kuondoa mshumaa na kuweka koroboi, kwa sababu mshumaa sio wetu kiasili.
 
Hii imetulia sana, kwa kuenzi mila zetu tulitakiwa kufanya hivyo. mi ningeiboresha zaidi kwa kuondoa mshumaa na kuweka koroboi, kwa sababu mshumaa sio wetu kiasili.

hata koroboi sio asili yetu....bora uchomeke kuni juu yake
 
We Boflo acha kuchafua ugali kwa mshumaa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom