Africa Billionaire List

Somi

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
3,634
4,392
Bill Gates is the world's wealthiest man, according to Forbes magazine's annual list of the world's richest people. Gates' net worth rose to $79.2 billion from $76 billion a year earlier, putting him at the top for the 16th year in the last 21.

A record number of 290 dollar billionaires were added to the list in 2014, including Michael Jordan. The new additions to Forbes magazine's annual rich list, published on Monday, takes the total to a record 1,826 billionaires.

The number of Africans on the list remains at 29, consisting predominately of Egyptians (27.5%) part of either the Mansour or Sawiris clan. Notably, Tanzanian born Mohammed Dewji makes his debut on the list with a net worth of $1.25 billion, while Aliko Dangote keeps his place as Africa's richest man, albeit after his net worth dropped to $14.7 billion, down from $25 billion in 2013.

Femi Otedola, 78% owner of Forte Oil returns to the list after falling off in 2009.

The Forbes Billionaires List: 2015
 
Utajiri una siri kubwa mambo mengi yamejificha ndani yake biblia inasema ni vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa MUNGU ni heri ngamia atapenya katika tundu la sindano.

Utajiri wa clean money unawezekana.

Acha uvivu na ufanye kazi kwa bidii.

Milionea na Bilionea wote duniani sio wachafu kama unavyodhani.
 
Utajiri wa clean money unawezekana.

Acha uvivu na ufanye kazi kwa bidii.

Milionea na Bilionea wote duniani sio wachafu kama unavyodhani.

Dangote watumishi wake nigeria walilalamika kwa malipo ya chini wanayopata wakati wanamzalishia kila siku faida.
Hali kadhalika matajiri wengi wa TZ, chunguza malipo wanayopata watumishi wao ,tajiri hawezi kukulipa vizuri wewe sababu anajua una shida ukikataa atakuja mwenye shida mungine kuchukua nafasi yako, ela anayotakiwa akulipe vizuri ndiyo anapelekea kwenye faida yake aupate ubilionea au umilionea, bila hivyo haupati.

Udanganyifu ni mwingi katika hatua za utajiri ikiwemo kukwepa kodi, ulanguzi, ukasoro wa bidhaa au huduma n.k. Mfano juzi kampuni ya Volkswagen imeshitakiwa kwa udanganyifu, Microsoft, Samsung, BP n.k. wote hao walikuwa na kesi kipindi tofauti.
Marekani na Ulaya ndio wanaomchagua rais yupi aongoze kwa maslahi yao.

Wapo wachache wasio na tatizo hata moja lakini ndio tunaita ni muujiza. Tajiri atasema ameleta ajira nyingi sawa, je, amemlipaje kila mtu kutokana na nguvu na akili anayotumia kumuingizia utajiri? Bali anataka man power iwe kubwa imzalishie kwa haraka faida ije kwa haraka.
 
Dangote watumishi wake nigeria walilalamika kwa malipo ya chini wanayopata wakati wanamzalishia kila siku faida.
Hali kadhalika matajiri wengi wa TZ, chunguza malipo wanayopata watumishi wao ,tajiri hawezi kukulipa vizuri wewe sababu anajua una shida ukikataa atakuja mwenye shida mungine kuchukua nafasi yako, ela anayotakiwa akulipe vizuri ndiyo anapelekea kwenye faida yake aupate ubilionea au umilionea, bila hivyo haupati.....

Unataka umpangie tajiri hela ya kukulipa wakati hujui ame hustle kiasi gani kufika hapo alipo?

Shukuru yeye kukupa ajira kama unaona mshahara hautoshi basi nenda katafute kwingine.

Hata wafanyakazi wa Bill Gates na Royal Dutch Shell wanalalamika mshahara hautoshi.
 
Ni upuuzi kuandika list ya mabilionea Afrika na kuwaacha wanasiasa/viongozi wa Afrika ikiwemo Moi, Kenyatta, Zuma, Ramaphosa & Kabila n.k. List hiyo ni bosheni tu
 
Ni upuuzi kuandika list ya mabilionea Afrika na kuwaacha wanasiasa/viongozi wa Afrika ikiwemo Moi, Kenyatta, Zuma, Ramaphosa & Kabila n.k. List hiyo ni bosheni tu

Kaka tuliza munkarii! Watu wanamizigo hao wezi wa mali za raia(maraisi) ni watoto wadogo sana.
 
90% ya matajiri wametumia njia nyingi za faulo/dhuluma kupata utajiri.

10% ya matajiri wametumia njia safi za bila dhuluma kupata utajiri.
 
Sshilole mbona simuoni kwenye hiyo list? maana nataarifiwa utajiri wake umeongezeka mpaka dola 89.2 billion kutoka dola 55.6 billion mwaka 2014
 
shilole yupi mkuu? huyu anayeendesha NOAH, maana kutwa nzima anshinda kwenye hiyo Noah kupiga picha za instagram! si ndo kaenda KAHAMA kupiga shoo za fiesta ama?
 
Bill Gates is the world's wealthiest man, according to Forbes magazine's annual list of the world's richest people. Gates' net worth rose to $79.2 billion from $76 billion a year earlier, putting him at the top for the 16th year in the last 21.

A record number of 290 dollar billionaires were added to the list in 2014, including Michael Jordan. The new additions to Forbes magazine's annual rich list, published on Monday, takes the total to a record 1,826 billionaires.

The number of Africans on the list remains at 29, consisting predominately of Egyptians (27.5%) part of either the Mansour or Sawiris clan. Notably, Tanzanian born Mohammed Dewji makes his debut on the list with a net worth of $1.25 billion, while Aliko Dangote keeps his place as Africa's richest man, albeit after his net worth dropped to $14.7 billion, down from $25 billion in 2013.

Femi Otedola, 78% owner of Forte Oil returns to the list after falling off in 2009.

The Forbes Billionaires List: 2015

Africa Billionaire List!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Back
Top Bottom