Afisa wa Wanyama Pori TANAPA auawa kwa kuchinjwa kinyama

The world is not fair for sure mke na shamba boy, ambao wananufaika na ujira wa huyu bwana,. Masikini na alikuwa anaenda India kwa matibabu
 
Ile kuchelewa kuoa na mke kijana tayari kuliweka conflict ya interest na sio majangiri??
 
Kamanda Saba's amesema mtunza bustani Wa nyumba yake amekiri kumua marehemu kwa tamaa ya ujira Wa tshs 5m. Ambazo baadhi ya hiyo fedha amekutwa nazo. Alimulia ndani akamburuza hadi kwenye buti ya gari Na kumuweka. Baadaye akatumia taulo Na suruali yake ya jeans kufuta damu ili kuficha ushahidi. Source ITV SAA 2.
 
Duuh haya matukio ya kikatili kama kwa Mandela...Sasa ivi Watanzania tumekua wakatili kupita kiasi aisee..mi nadhani kungekua na sheria ambayo intakiwa Watanzania woote wachukuliwe Finger print na yawepo katika saver tukio kama hili linachukua siku chache kujulikana wahusika na si washukiwa..ila kama T scan ya Muhimbiri tu inatusumbua haya mengine sijajua kama yatawezekana kwa sasa ivi..

Yangu ipi BVR
 
Afisa wa TANAPA bwana Kisamo Emmily ameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kuchinjwa kama mbuzi huko Arusha.

Mwili uko kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Mount Meru.

Kuna tetesi kuwa amechinjwa kwa kuhisiwa kuwa ndio alikuwa na orodha ya vigogo nchini waliokuwa wanajihusisha na biashara haramu ya pembe za ndovu.

Hilo nalo neno!
 
Back
Top Bottom