Afande Sabasita ahamishiwa CCP; alihusishwa na tuhuma za kumdhuru Dr. Mwakyembe

king11

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
327
79
Wakati bado akiwa amekaa kimya dhidi ya ushaidi aliopelekewa na mwakyembe wa kuwataja watu walioshiriki katika tukio la kutaka kumwangamiza mwakyembe said mwema ameanza kuwaamisha watuhumiwa kutoka katika vituo vyao vya kati mmoja wa watuhumiwa wakuu wa sakata hili ni askari polisi mashuhuri wa morogoro anayejulikana kwa jina mashuhuri la Sabasita kampeleka kwenda kuwa mkufunzi CCP moshi.

Said mwema nini kinaendelea?
 
Huyo Sabasita ndiye yule aliyekuwa Arusha miaka ya nyuma? Kama ndiye, then no doubt kuhusika kwenye issue ya Mwakyembe. Alikuwa anapenda sifa za kijinga na alipenda kuhusika kwenye matukio ya kutisha, vurugu, na unique. Alikuwa maarufu sana Arusha akahamishiwa Moshi.
 
nimesikia sabasita kapangua uamisho nasasa anaenda rorya. Hizi bado hazijawa habari rasmi so usiniulize nimesikia wapi.
 
Hii hamisha hamisha ya wahalifu kutoka sehemu 1 hadi nyingine haisaid. Bora ampeleke exile tena kwa siri, kama hiyo ni ngumu amhamishie kusimu. Huko ambapo watu wakienda hawarudi wala kuonekana tena. Go to hell Mwema and your friend 76.
 
Nchi hii sio siri, ukiyafatilia mengi kama si yatakupa kichefuchefu utatapika kabisa.
 
kuna askari aliconfess kwamba akina sabasita wanashiriki uhalifu na kubambikia raia kesi matokeo yake RPC akamweka mahabusu then wakampeleka MIREMBE kuwa ana matatizo ya akili,kulmd daktari akakataa kumpokea baada ya kumemamine na kuona hana kichaa..hatimae wakamfukuza kazi lakini sasa mbona wote waliotajwa ndo wanahamishwa?
 
Huyo Sabasita ndiye yule aliyekuwa Arusha miaka ya nyuma? Kama ndiye, then no doubt kuhusika kwenye issue ya Mwakyembe. Alikuwa anapenda sifa za kijinga na alipenda kuhusika kwenye matukio ya kutisha, vurugu, na unique. Alikuwa maarufu sana Arusha akahamishiwa Moshi.

Kimaro aka 76 - he is a serial killer - na mkuu wa Police anafahamu hivyo - Tatizo kubwa ni kuwa anayo nguvu kubwa ndani ya "kikundi maalum cha jeshi la police" ...
 
Huyu Kimaro a.k.a 7,6 hiyo jina aliipatia hapa A town,enzi yake miaka ya 1987 hadi 2001 hv na ana misifa haswa na yuko njema kiafya kweli kweli na hata kikosi yake yote karibia wamekuwa mang'aa na hata wengine wameshatangulia mbele ya haki kwa mfano Msomali,huyu alimkamata mama mmoja aliyekuwa anauza pombe aina ya gongo na ndipo yule mama akamwomba sana amwachie na katukatu akakataa kbs kumsamehe yule mama akamkamlia na maziwa akiwa na maana chochote anachofanya ni kwa ajili ya watoto lakini msomali akakataaa na ndipo msomali akabeba ile gongo,Hakika nawaambia yule askari baada ya kuondoka tu akakanyagwa na catapiler lile la kutengeneza barabara na ndio ikawa mwisho wa uhai wa huyu rafiki yake 7,6! Mtaona nasema uwongo lakini ukweli ndio huo!
 
Back
Top Bottom