Afande Azizi Vs Afande Kova

Kumbesa

Senior Member
Dec 29, 2011
113
22
Afande Azizi alijipatia shukrani nyingi kutoka kwa Rais wa zanzibar baada ya kufanya kazi yake kama alivyo hitajika bila kujali Dinii au mahali inapofanyiwa ,binafsi nampongeza kwa Ushujaa wake na kuonesha ukakamavu wa hali ya juu matokeo hayo yalikuwa ni upande wa zanzibar hapa Dar kilicho nishangaza afande kova ameshindwa kutumia mbinu kama ile aliyoibuni afade Azizi na kuwaruhusu watu kufika maeneo hayo na kufanya waliyo yafanya

DSC_0253.JPG
Kamanda Kova alifika kutaka kuzungumzanao lakini alishindwa na kwenda kuungana na viongozi wa wizara.

DSC_0280.JPG
Ilipofika laasiri pakageuzwa msikiti na kuswaliwa hapo hapo.

DSC_0283.JPG
Hapa wakisujudu.



DSC_0302.JPG
Wakiomba dua maalum.

DSC_0306.JPG
Jopo la masheikh wakitoka wizarani kuja kutoa tamko la jeshi mbele ya waisilamu ambalo walikubaliana na madai ya waisilamu kuachiliwa huru kwa watu wote wanao kamatwa kwa kupinga kuandikishwa sensa.

WALIPORUHUSIWA KUINGIA NDANI KUONGEA NA WAKUU WA JESHI LA POLISI ZAIDI TEMBELEA
 
..hebu acheni uchochezi.

..cha msingi wamesikilizwa madai yao na hakuna aliyeumizwa wala kuuwawa.

..kumbe askari wetu wanaweza ku-deal na maandamano kwa staha na ustaarabu.

..swali la kujiuliza ni je kule yanapotokea mauaji, je askari wetu huwa wamepewa maelekezo ya KUUWA??
 
Asilimia kubwa hapo ukiangalia wamevaa nguo za mitumba, kuvaa mitumba mmesababishiwa na mafisadi. Siku nyingine basi muandamane kuwang'oa
 
Hili liwe somo zuri kwa watawala wetu, na imekuwa kielelezi kizuri kwetu kuwa vurugu na vifo kwenye mikutano/maandamano huwa yanasababishwa na polisi. Pia imedhiirisha kuwa polisi wakipewa amri/maelekezo mazuri toka ka wakubwa wao/ watawala, basi si rahisi kutokea machafuko. Imenisikitisha sana kuona machafuko na vifo hutokea kwenye mijumuiko yenye taarifa kwa polisi na yenye kibali, lakini macafuko hayajatokea kwenye maandamano haya yasiyo na kibali wala taarifa kwa polisi/serikali.
 
Kova.jpg
Aliyemteka Dk Ulimboka akamatwa, atinga kortini

Saturday, 14 July 2012 07:28
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Suleiman Kova
Ametangaza kukamatwa kukamatwa kwa mtu huyo.
ADAIWA KUWA NI RAIA WA KENYA, ALIKODIWA
RAIA wa Kenya, Joshua Mulundi (21) amekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam na kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumteka na kufanya jaribio la kumuua Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk Steven Ulimboka. Mtuhumiwa huyo alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana alasiri na kusomewa mashtaka mawili na Wakili wa Serikali, Ladslaus Komanya.





 

Attachments

  • KOVA.doc
    63.5 KB · Views: 112
Back
Top Bottom