Advanced Excel for Professional & Tally ERP 9

swali la msingi sana hili,jamaa kakimbia
Ndugu "nra2303" kozi content yetu ina kurasa 10 zilizoshiba,ndo maana tukasema kama waitaji kuiona tutumie Direct Message email yako nasi tutakujibu haraka iwezekanavyo au waweza pitia ofisini tukakupatia.
Kama una chochote ;
wasiliana nasi au fika ofisini kwetu makumbusho Business Complex,2nd Floor;
Simu: 0717 718 519 / 0762 192 532
email: training@comskills.co.tz
Web: www.comskills.co.tz
Karibuni sana.
 
Tally Accounting Package to start on Monday 21/112016 - 2/12/2016
 
Ndugu "nra2303" kozi content yetu ina kurasa 10 zilizoshiba,ndo maana tukasema kama waitaji kuiona tutumie Direct Message email yako nasi tutakujibu haraka iwezekanavyo au waweza pitia ofisini tukakupatia.
Kama una chochote ;
wasiliana nasi au fika ofisini kwetu makumbusho Business Complex,2nd Floor;
Simu: 0717 718 519 / 0762 192 532
email: training@comskills.co.tz
Web: www.comskills.co.tz
Karibuni sana.
Is it Excel adn or?
 
Add-in for Microsoft Excel
No we train using application software (EXCEL) not add in . but using Excel add in is very simple in all process of manipulation,analysis as well as reporting issues in data. So if you join a course, then we can make an offer for it.
But It will depend also on what kind of primary software the add in (EXCEL) is installed..eg, Quickbook, Sage, ACL or any...
Thanks and Karibu.
Any Question please call:
0717 715819
training@comskills.co.tz
www.comskills.co.tz
 
Vipi Mbeya mnapatiakana?
Ndugu "chiba89", hapana Mbeya hatuna tawi huko,kwa sasa tupo Dar pekee. Panapo majaliwa tutafanya hii training mwezi wa nne (4) mwakani (2017) huko mbeya. Au kama una uhitaji wa haraka wa hii kozi wasiliana nasi tuone tunafanyaje.
Tupigie: 0717 718519
Tuandikie:training@comskills.co.tz
tembelea:www.comskills.co.tz
Fika ofisi zetu zipo Makumbusho Business Complex, 2nd Floor,
Karibu sana.
 
Nimechukua namba ntawatafuta
 
Darasa la Tally limeanza lakini nafasi bado unayo nafasi kubwa ya kuongeza ujuzi wako zaidi na zaidi.
Karibu sana
 
Darasa limeanza lakini nafasi bado unayo nafasi kubwa ya kuongeza ujuzi wako zaidi na zaidi.
Karibu sana
 
Nipo offcn ila computer mambo mengi sjui naomba nafasi,, nina mdogo wangu napenda awe na ujuz wa kutengeneza computer na vifaaa vyake,, wapi ntapata chuo hicho chenye usajiri
 
Nipo offcn ila computer mambo mengi sjui naomba nafasi,, nina mdogo wangu napenda awe na ujuz wa kutengeneza computer na vifaaa vyake,, wapi ntapata chuo hicho chenye usajiri
Asante sana ndugu "bruno twemanye", sasa hapa kuna mambo mawili;
1.Wewe una tatizo la kutojua computer kwenye kazi zako za kila siku.Nafasi ambayo tunaweza kukupa ni kujiunga na darasa la mafunzo ya awali ya Computer ambayo ni wiki tano masaa mawili kwa siku,chuo chetu kina usajili wa VETA na kinatambulika kote.
2.Kuhusu mdogo wako,inategemea elimu yake niya ngazi ipi na pia ni ujuzi gani anautaka kwenye computer maana computer ni pana kiasi chake.
Kama utakuwa na maswali zaidi au ushauri,
Tupigie: 0717 718519
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Karibu sana.
 
Madarasa yetu ni endelevu,tuwasiliane tuone tuweze kuongeza ujuzi wako zaidi na zaidi.
Karibu sana
 
Madarasa yetu ni endelevu,tuwasiliane tuone tuweze kuongeza ujuzi wako zaidi na zaidi.
Karibu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom