Adhabu kubwa ya mpenzi anayekusaliti

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,141
[h=3]
[/h]
Wanaume wengi wanapobaini kuwa wapenzi wao wanawasaliti, hutunisha misuli kuonesha umwamba kwa kuwatwanga makonde wapenzi wao au kuwafanyia mbaya wale waliowanasa. Lakini uchunguzi wa wana mapenzi unaonesha kuwa ubabe haukomeshi tabia ya usaliti.

Kuna wengi ambao waliwafumania wake zao, wakawapiga na kuwajeruhi, lakini wakajikuta hawakukomesha tatizo, zaidi ya kuwapa usugu wapenzi wao wa kuendeleza wizi tena kwa dharau na kejeli huku wakibembelezana kwa maneno haya: “mzushi kaenda kazini njoo sasa hivi Wapendanao Gesti” au “vipi yule ----- alikuuliza jana ulipochelewa kurudi” Jamaa anaweza kumuuliza hivyo mke au mpenzi wa mtu.

Katika hali ya kawaida usaliti ni jambo linalouma kwa kiwango kikubwa. Katika mapenzi hakuna suala la kuazimana mume/mke. Watu huazimana magari na pesa, lakini laazizi hakuna jasiri wa namna hiyo! Hivyo ndivyo lakini, kupiga au kuachana baada ya kufumaniana kunasaidia? Jibu hakusaidii, kwani ukimpiga adhabu inaishia hapo hapo, kesho yake watakaokutana watakusaliti tena kupozana machungu.

Maamuzi ya kuacha naye hayasaidii kwani ukimwacha mpenzi wako hujamtibu, utakuwa umetoa mwanya wa yeye kuendelea kukusaliti na kukuumiza zaidi pale macho yako yatakapowaona wameshikana mikono mitaani kwa uhuru na raha zao.

Ukiamua kuua na wewe utauawa, huku wanadamu wenzako wakikucheka kwa uzembe wa kufikiri. Jamani usaliti upo kila siku, si tunawaona wake na wapenzi wa watu wanaingizana gesti kila siku?

Hivyo, kama hujamfuma mpenzi wako leo kuna siku utakutana na meseji kali akibembelezana na ‘kidume’ mwingine kwa maeneo fulani. Utafanyaje baada ya kubaini hivyo, maana kama ni tukio basi utakuwa umeona lile la stejini laivuuuuuu bila chenga. Twende pamoja ili tuelimishane kama wadau wa mapenzi njia sahihi ya kufanya ili kumwadhibu mpenzi msaliti.

Kwanza, baada ya kuwaona uso kwa macho wakisaliti penzi, unatakiwa kutoa ishara zitakazoonesha kuwa umewaona, halafu ondoka eneo hilo. Ukifika home mtu mzima endelea kunywa maji ili kupoza presha. Akirudi mpenzi wako jitahidi kumkaribisha kwa bashasha, lakini usimuulize ulichoona mwache aendelee kujiuliza mwenyewe.

Au kama umenasa meseji za kimahaba kutoka kwa mwizi wako, zitume kwenye simu yako kwanza, kisha baada ya kumaliza uchunguzi wako mtumie tena sms hizo mkeo/mumeo. Ukifanya hivyo usimuulize, endelea kumpenda na ikiwezekana ongeza matunzo. Nunua ‘mikuku’ akaange kila siku na umpe penzi moto moto.

Nakwambia ukifanya hivyo mpenzi wako ataumia sana na hataendelea kukusaliti kwa kuwa atakuwa anawaza unafikiria kumfanya nini? Na kwa yule uliyemshika naye, vivyo hivyo usizozane naye, mwache! Utashangaa anahama eneo maana atakuwa anafikiri unamwandalia kombora kumbe wewe wala, umeamua kujituliza tu!

Wadau wa mapenzi hii ndiyo dawa ya mtu msaliti. Mwadhibu kwa upole, wanasaikolojia wameithibitisha adhabu hii kuwa ina uchungu mara 1,000 zaidi ya kupiga au kukemea. Ukisema umwache siyo dawa kwani unaweza kutafuta mwanamke/mwanaume mwingine naye akawa na tabia zile zile, ikiwa ndivyo utaacha wangapi basi katika maisha haya?

Adhabu ya mpenzi anayekusaliti ni kumnasa kwenye usaliti wake kisha kumpuuza huku wewe ukiendelea na mambo yako kama kawaida, ukifanya hivyo utakuwa unamtibu ugonjwa wake wa kupenda penda hovyo na hii ndiyo dawa hasa ya kumponya msaliti, lakini pia inasaidia kupunguza maumivu ya penzi. Kumchunga na kumlilia machozi hakusaidii.

Dah ushauri ni mzuri lakini inauma...kama mwanaume si utaonekana bushoke sasa?mimi nashauri dawa yake ya milele ni kuacha tu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Utaacha wangapi sikuhizi asilimia 65 wanandoa wapo majaribuni wengi hutoka nje ya ndoa kwa tamaa za maisha kutaka visivyo vya lazima
 
Umeikamata sms ya kwanza, ya pili pengine ya tatu bado unazitunza hadi uchunguz ukamilike? daah, hapo mwizi wako yupo tu anaendelea kula tunda lako ulokabidhiwa kosheri we nila shida unaendeleza utafiti! Alafu ukisha baini ukweli ndo umrudishie sms zake ili ajue kua we umegundua anachokufanyia, kweli hapo me siungi hoja mkono hata kidogo! prngine ntaaza kuhoji cku hiyo hiyo na nikibaini wizi bac napiga chini hyo ndoa fasta au hata kama ni uchumba unaishia hapo! wahenga wanasema jasiri haachi asili kwahiyo unaweza kujikuta unaumia mara nyingine maishan kwa mtu yuleyule hii itakuuma zadi bora nusu shari bana! Me mpenzi wangu lazima afahamu kwamba mim cwezi kusamehe usaliti wa penzi kwahiyo akijua tu amesaliti na nimepata bahati kubaini basi achukue kila kilicho chake atembee!
 
Ase sisi wanaume maranyingi hakuna apendae kushea mpeziweke na mungine na kweli pindi utakapo gundua kuna usaliti hujukua uamuzi wa haraka sana kupiga shini ilhali hakuna uchunguzi wowote ulioufanya wengi wa wanaume husababisha wapenziwao kutoka nje ya ndoa kutokana na tabia zetu tulizo jijengea mfumo dume huasiri ndoa nyingi. Mfano mwanmke anapohitaji kitu ambacho mwanaume huona si chalazima basi hatonunuliwa mavazi wengi hununulia wakezao nguo skukuu hadi skukuu mwanamke anapenda vitu vyakijinga akitoka nawenzake anaona wemependeza anatamni lakini akirudi nyumbani kwanza hata kucheka na mumewe hawezi kila kitu mume akipenda ndo anapata mabomengi sana nikujaribu kuwa karibu na wenzetu na kuonyesha upendo zaidi ya kulalamika na ukali wamaisha kuacha sio dawa jaribu kurekebisha kwanza na kijua nini sababu ya kutoka nje yandoa unaweza acha na ukaleta ikawa vile vile unaemleta akachepuka sijuinutaacha nae kwakweli na upande wa pili pia wamekuwa na kasumba ya kutoka nje ya ndoa maraingine bila sababu zozote sijui ni pepo limewakumba hawa wenzetu
 
Wanaume wengi wanapobaini kuwa wapenzi wao wanawasaliti, hutunisha misuli kuonesha umwamba kwa kuwatwanga makonde wapenzi wao au kuwafanyia mbaya wale waliowanasa. Lakini uchunguzi wa wana mapenzi unaonesha kuwa ubabe haukomeshi tabia ya usaliti.

Kuna wengi ambao waliwafumania wake zao, wakawapiga na kuwajeruhi, lakini wakajikuta hawakukomesha tatizo, zaidi ya kuwapa usugu wapenzi wao wa kuendeleza wizi tena kwa dharau na kejeli huku wakibembelezana kwa maneno haya: "mzushi kaenda kazini njoo sasa hivi Wapendanao Gesti" au "vipi yule ----- alikuuliza jana ulipochelewa kurudi" Jamaa anaweza kumuuliza hivyo mke au mpenzi wa mtu.

Katika hali ya kawaida usaliti ni jambo linalouma kwa kiwango kikubwa. Katika mapenzi hakuna suala la kuazimana mume/mke. Watu huazimana magari na pesa, lakini laazizi hakuna jasiri wa namna hiyo! Hivyo ndivyo lakini, kupiga au kuachana baada ya kufumaniana kunasaidia? Jibu hakusaidii, kwani ukimpiga adhabu inaishia hapo hapo, kesho yake watakaokutana watakusaliti tena kupozana machungu.

Maamuzi ya kuacha naye hayasaidii kwani ukimwacha mpenzi wako hujamtibu, utakuwa umetoa mwanya wa yeye kuendelea kukusaliti na kukuumiza zaidi pale macho yako yatakapowaona wameshikana mikono mitaani kwa uhuru na raha zao.

Ukiamua kuua na wewe utauawa, huku wanadamu wenzako wakikucheka kwa uzembe wa kufikiri. Jamani usaliti upo kila siku, si tunawaona wake na wapenzi wa watu wanaingizana gesti kila siku?

Hivyo, kama hujamfuma mpenzi wako leo kuna siku utakutana na meseji kali akibembelezana na ‘kidume' mwingine kwa maeneo fulani. Utafanyaje baada ya kubaini hivyo, maana kama ni tukio basi utakuwa umeona lile la stejini laivuuuuuu bila chenga. Twende pamoja ili tuelimishane kama wadau wa mapenzi njia sahihi ya kufanya ili kumwadhibu mpenzi msaliti.

Kwanza, baada ya kuwaona uso kwa macho wakisaliti penzi, unatakiwa kutoa ishara zitakazoonesha kuwa umewaona, halafu ondoka eneo hilo. Ukifika home mtu mzima endelea kunywa maji ili kupoza presha. Akirudi mpenzi wako jitahidi kumkaribisha kwa bashasha, lakini usimuulize ulichoona mwache aendelee kujiuliza mwenyewe.

Au kama umenasa meseji za kimahaba kutoka kwa mwizi wako, zitume kwenye simu yako kwanza, kisha baada ya kumaliza uchunguzi wako mtumie tena sms hizo mkeo/mumeo. Ukifanya hivyo usimuulize, endelea kumpenda na ikiwezekana ongeza matunzo. Nunua ‘mikuku' akaange kila siku na umpe penzi moto moto.

Nakwambia ukifanya hivyo mpenzi wako ataumia sana na hataendelea kukusaliti kwa kuwa atakuwa anawaza unafikiria kumfanya nini? Na kwa yule uliyemshika naye, vivyo hivyo usizozane naye, mwache! Utashangaa anahama eneo maana atakuwa anafikiri unamwandalia kombora kumbe wewe wala, umeamua kujituliza tu!

Wadau wa mapenzi hii ndiyo dawa ya mtu msaliti. Mwadhibu kwa upole, wanasaikolojia wameithibitisha adhabu hii kuwa ina uchungu mara 1,000 zaidi ya kupiga au kukemea. Ukisema umwache siyo dawa kwani unaweza kutafuta mwanamke/mwanaume mwingine naye akawa na tabia zile zile, ikiwa ndivyo utaacha wangapi basi katika maisha haya?

Adhabu ya mpenzi anayekusaliti ni kumnasa kwenye usaliti wake kisha kumpuuza huku wewe ukiendelea na mambo yako kama kawaida, ukifanya hivyo utakuwa unamtibu ugonjwa wake wa kupenda penda hovyo na hii ndiyo dawa hasa ya kumponya msaliti, lakini pia inasaidia kupunguza maumivu ya penzi. Kumchunga na kumlilia machozi hakusaidii.

Aisee Mh. waziri, ni vigumu. Haya mambo ya kilokole, sasa kama jamaa ahami na mkeo anaendelezalibeneke, itakuwaje?
 
Mimi kuna stori moja maarufu sana kijiweni kwetu ni hivi kuna mchizi mmoja mjeda alikuwa na mke wake moja haikai mbili inateleza tatu ndo usiseme,basi huyu demu alikuwa na kamchezo mumewe akienda job nyuma anamwingiza sela boy mmoja mchizi anapiga za mkwezi alafu anajikataa.Mazoea hujenga tabia wakaona ndo mchezo sasa siku mjeda karudi muda ambao wezi walikuwa hawajauzoea akamkuta sela boy kajikunja ndo anamalizia cha mwisho kajikunja ka acrobat hapohapo kwenye bed la mjeda wao wakashtuka wakaanza kukimbilia nguo,mjeda yeye miluzi mingi kwanza kawasalimia wote wawili kabadilisha nguo kavaa pensi wezi mijicho imewatoka vibaya, kaingia kuoga huku nyuma sela boy mbio karudi dining room akamuomba mkewe amuwekee msosi kala imefika usiku muda wa kulala mjeda kaomba game kagonga fresh kulipokucha mjeda kaenda jobu kama kawaida yaani kama vile hakuna kilichotokea demu kila anachokishika hakishikiki kila anachofanya hakiendeki mbio kwao kigoma mjeda anarudi mkewe hayupo kufuatilia anapata habari karudi ukweni akajipanga akaenda kumfuata mkewe,anafika anawaambia wakwe wampe mkewe manake hawajagombana wala hamna lolote baya weeeee????? demu hajakubali kawaeleza wazeee mwanzo mwisho mkasa mzima,mjeda akaconclude kuwa yeye haoni tatizo na bado anampenda sana mkewe ilibidi wazee wamlazimishe binti yao kurudi kwa mumewe
 
duh!!!! Hata mimi lazima niogope aisee
 
Hiyo kitu hata mie nishawahi kuapply... Nilikuta jamaa yangu yuko na demu mi nikapiga kimya tu as if nothing happened... We ilikuwa adhabu kubwa na mbaya sana... Usiombe mtu akakutesa kisaikolojia... Jamaa kavumilia wee, siku, wiki, mmmh akaona magumu ikabidi afunguke oooh we ni mtu mbaya sana, unaweza kuniua wewe nikamwambia wee ndo uliamua kucheat so hata nikikuuliza haitabadilisha ukweli uliopo... Jamaa hadi leo heshima na adabu maana anawaza nitamfanya nini?
 
Dah ushauri ni mzuri lakini inauma...kama mwanaume si utaonekana bushoke sasa?mimi nashauri dawa yake ya milele ni kuacha tu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Nadhani dawa ni hiyo ya kuachana kweli, kuepuka stress, maambukizo, na hata maandiko yanaruhusu kutoa taraka kwa sababu ya uasherati.
 
Na Ukimwi nao utampuuza? Ni rahisi zaidi kukaa kimya kwa mwenzi wangu lkn huyo mwingine lazima nimpumulie tu!!
[h=3]
[/h]
Wanaume wengi wanapobaini kuwa wapenzi wao wanawasaliti, hutunisha misuli kuonesha umwamba kwa kuwatwanga makonde wapenzi wao au kuwafanyia mbaya wale waliowanasa. Lakini uchunguzi wa wana mapenzi unaonesha kuwa ubabe haukomeshi tabia ya usaliti.

Kuna wengi ambao waliwafumania wake zao, wakawapiga na kuwajeruhi, lakini wakajikuta hawakukomesha tatizo, zaidi ya kuwapa usugu wapenzi wao wa kuendeleza wizi tena kwa dharau na kejeli huku wakibembelezana kwa maneno haya: “mzushi kaenda kazini njoo sasa hivi Wapendanao Gesti” au “vipi yule ----- alikuuliza jana ulipochelewa kurudi” Jamaa anaweza kumuuliza hivyo mke au mpenzi wa mtu.

Katika hali ya kawaida usaliti ni jambo linalouma kwa kiwango kikubwa. Katika mapenzi hakuna suala la kuazimana mume/mke. Watu huazimana magari na pesa, lakini laazizi hakuna jasiri wa namna hiyo! Hivyo ndivyo lakini, kupiga au kuachana baada ya kufumaniana kunasaidia? Jibu hakusaidii, kwani ukimpiga adhabu inaishia hapo hapo, kesho yake watakaokutana watakusaliti tena kupozana machungu.

Maamuzi ya kuacha naye hayasaidii kwani ukimwacha mpenzi wako hujamtibu, utakuwa umetoa mwanya wa yeye kuendelea kukusaliti na kukuumiza zaidi pale macho yako yatakapowaona wameshikana mikono mitaani kwa uhuru na raha zao.

Ukiamua kuua na wewe utauawa, huku wanadamu wenzako wakikucheka kwa uzembe wa kufikiri. Jamani usaliti upo kila siku, si tunawaona wake na wapenzi wa watu wanaingizana gesti kila siku?

Hivyo, kama hujamfuma mpenzi wako leo kuna siku utakutana na meseji kali akibembelezana na ‘kidume’ mwingine kwa maeneo fulani. Utafanyaje baada ya kubaini hivyo, maana kama ni tukio basi utakuwa umeona lile la stejini laivuuuuuu bila chenga. Twende pamoja ili tuelimishane kama wadau wa mapenzi njia sahihi ya kufanya ili kumwadhibu mpenzi msaliti.

Kwanza, baada ya kuwaona uso kwa macho wakisaliti penzi, unatakiwa kutoa ishara zitakazoonesha kuwa umewaona, halafu ondoka eneo hilo. Ukifika home mtu mzima endelea kunywa maji ili kupoza presha. Akirudi mpenzi wako jitahidi kumkaribisha kwa bashasha, lakini usimuulize ulichoona mwache aendelee kujiuliza mwenyewe.

Au kama umenasa meseji za kimahaba kutoka kwa mwizi wako, zitume kwenye simu yako kwanza, kisha baada ya kumaliza uchunguzi wako mtumie tena sms hizo mkeo/mumeo. Ukifanya hivyo usimuulize, endelea kumpenda na ikiwezekana ongeza matunzo. Nunua ‘mikuku’ akaange kila siku na umpe penzi moto moto.

Nakwambia ukifanya hivyo mpenzi wako ataumia sana na hataendelea kukusaliti kwa kuwa atakuwa anawaza unafikiria kumfanya nini? Na kwa yule uliyemshika naye, vivyo hivyo usizozane naye, mwache! Utashangaa anahama eneo maana atakuwa anafikiri unamwandalia kombora kumbe wewe wala, umeamua kujituliza tu!

Wadau wa mapenzi hii ndiyo dawa ya mtu msaliti. Mwadhibu kwa upole, wanasaikolojia wameithibitisha adhabu hii kuwa ina uchungu mara 1,000 zaidi ya kupiga au kukemea. Ukisema umwache siyo dawa kwani unaweza kutafuta mwanamke/mwanaume mwingine naye akawa na tabia zile zile, ikiwa ndivyo utaacha wangapi basi katika maisha haya?

Adhabu ya mpenzi anayekusaliti ni kumnasa kwenye usaliti wake kisha kumpuuza huku wewe ukiendelea na mambo yako kama kawaida, ukifanya hivyo utakuwa unamtibu ugonjwa wake wa kupenda penda hovyo na hii ndiyo dawa hasa ya kumponya msaliti, lakini pia inasaidia kupunguza maumivu ya penzi. Kumchunga na kumlilia machozi hakusaidii.

Umeikamata sms ya kwanza, ya pili pengine ya tatu bado unazitunza hadi uchunguz ukamilike? daah, hapo mwizi wako yupo tu anaendelea kula tunda lako ulokabidhiwa kosheri we nila shida unaendeleza utafiti! Alafu ukisha baini ukweli ndo umrudishie sms zake ili ajue kua we umegundua anachokufanyia, kweli hapo me siungi hoja mkono hata kidogo! prngine ntaaza kuhoji cku hiyo hiyo na nikibaini wizi bac napiga chini hyo ndoa fasta au hata kama ni uchumba unaishia hapo! wahenga wanasema jasiri haachi asili kwahiyo unaweza kujikuta unaumia mara nyingine maishan kwa mtu yuleyule hii itakuuma zadi bora nusu shari bana! Me mpenzi wangu lazima afahamu kwamba mim cwezi kusamehe usaliti wa penzi kwahiyo akijua tu amesaliti na nimepata bahati kubaini basi achukue kila kilicho chake atembee!

Jamani mimi nina kinyaa hata nikiona mtu anatoka tu chumbani na mwanamke yaani wametoka ku do huyo mwanamke siwezi kumtamani tena maishani nina asume bado ana wazungu alio waingiza jamaa. Sasa mke wangu nikimkuta live anabanjuliwa na jamaa si ndo itakua mwisho wa jogoo kuwika? Hapo kuna kuendelea kuto penzi motomoto wakati jogoo amegoma kuwika?
 
"Umeikamata sms ya kwanza, ya pili pengine ya tatu bado unazitunza hadi uchunguzi ukamilike?"(Snail 2013) Umekuwa uchunguzi wa jeshi la polisi chini ya Chagonja? Anyway kweli kukaa kimya kutamfunza adabu.
 
Back
Top Bottom