Additional airport tax - upo hapo!?

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,253
12,870
The additional airport Tax of Usd 10 will be collected by DESTINATION ZONE LIMITED at the airport from all departing passengers effective from 1st Jul 2012, due to the increase of airport taxes from Usd 30 to Usd 40.

untitled.JPG
 
Wanachangisha pesa kwa ajili ya safari za mkuu wa kaya baada ya alizokuwa ametengewa kwenye bajeti yake kufisadiwa (kuibiwa) zote.
 
na domestic imeongezeka kutoka dola 5-9.pamoja na kujidai kuondoa fuel surchage ya 3 percent!
 
Wakati wenzetu kenya wanapunguza sisi tunaongeza,nafikiri hata hizo ndege chache zilizopf nazo zinaweza kimbilia kenya
 
Hata parking ya magari washenzi wamepandisha from 1st july. Lisaa limoja shs 1,000. Can u imagine?!
 
Sasa ndo naaamini ule usemi mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho atanyan'ganywa hata kidogo alichonacho!!!!!!!!!!
 
Parking fees 1000/= kwa saa, bora safar za tren toka ubungo posta zianze
 
To be frank hii Airport service charge ya Tshs 5000/= imedumu kwa miaka mingi sana, its well over 10years old.

Sijui kama kuna mtu anajua bidhaa ambayo ina bei stagnant tokea miaka ya 2000 hadi leo.

So it's just high time that it was raised - to me no complaint.
 
Jana nikiwa naelekea mwanza wapendwa nikakutana na vituko vya ajabu uwanja wetu wa jnia
nikiwa sijakaribia nikaona waliotangulia folen aiendi kabisa wameanza kutoa maneno makali
kikanisibu kusogea mbele kujua nini kimeendelea;gafla nikapewa karatasi photocopy
imeandikwa ongezeko la kodi ...ukisoma vizuri barua ongeezeko hilo linaanza jul 1/2012
cha ajabu hata aliekata tar 29 jun,may ,april analazimishwa kulipa ..sikupata mtu mwenye uelewa
manaa nilijaribu kwenda kwenye international airline kuuliza kwa rafiki yangu nae nikakuta kuna
mgogoro tena wetu ulikuwa nafuuu....

Swala la kujiuliza
1...kodi hiyo kwa nini walazimishwe watu kuitoa pale airport
2..kwa nini wengi wenye airline awana risit za tra kama tulizonazo kwenye biashara
3...kwa nini wale walionunua tkt kabla ya tar 1 jul walazimishwe kulipa airport
4..huu ni mradi wa nani endelevu ambao auonekani hata mwisho wake unaishia lini
5..jambo la busara kama kodi zingine wanachukua kwenye pesa zetu za tk kwa nini tra wasiwalazimu wenye airline kuzziingiza hiyo doller 10 na sh 5000 kwenye tkt zetu tukiwa tunanunua..nini kinaendelea.....????

Wanandugu tuwe macho hii zerikali imebanwa na pesa za epa sasa wanajitahidi kuangaliwa wapi wazirudishe badala ya kuhangaika na zile trillion zilizopo kule uswiss huu ni uhuni na utapeli kwa kweli wanaotakiwa kulipa hizi kodi kama ni legal ni wanaonunua tkt kuanzia jul1 na si vinginevyo
natumaini vyombo timilifu vitafuwatilia hili kwa umakini kujua kinachoendelea kwa kweli
 
F u c k the ones initiated this idea! F u c k the ones initiated the idea of very huge tax cut in our salaries. F u c k them because they aint doing anything other than stealing those taxes. Their theft becomes a very heavy burden on us at the end of the day.
They go out there lick the muzungus' ars es, get loans at the end of that process then they come back sit their ars es at the table trying to figure out which area they need to increase taxes. This becomes the very vicious cycle that keeps on tormenting our black ars es. I am tired! I need a peaceful demonstration countrywide.
 
Basiasi, punguza hasira mkuu. Kama kuna lawama ziwe juu ya suala zima la kuongezwa airport tax wakati huduma za airport ni za kiwango duni sana. Ukweli ni kwamba airport tax ni kodi kwa ajili ya huduma unayopewa ukiwa uwanja wa ndege, kutia ndani na vyoo, maji, viti, AC, ulinzi nk. Kwa hiyo ikiwa leo ndio unasafiri na kupata huduma hizo watadai ulipie huduma kwa kiwango cha kodi mpya, hata kama ticket ulikata mwaka jana. Ili ukwepe hilo ongezeko la kodi suala ni kusafiri kabla ya July 1 sio kukata ticket kabla ya July 1.
 
Back
Top Bottom