Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 901
- 907
Watabiri mashuhuri huko Greece miaka mingi kabla kuzaliwa kwa kristo walitabari mfalme atazaa mtoto wa kiume... Mtoto huyo atakuja kumuua mfalme ambaye ni baba yake na kumuoa mke wa mfalme ambaye ni mama yake .....
Baada ya mfalme kupokea utabiri huo wakashauriana mtoto auwawe...Mfalme akataka baada ya mtoto kuzaliwa mfalme akaagiza mtoto atupwe porini aliwe na wanyama.... Alipotupwa wawindaji wakamuokota wakamtunza....Achili akakua katika jamii ya ambao kwao kila mtu anaeonekana na farasi ni adui yao lazima wamuue....
Achilli, mtoto alietupwa, akiwa kijana mwenye nguvu siku moja akakutana na mzee yupo kwenye farasi akakumbuka huenda ni maadui wanakuja kutuvamia, akachukua mshale akamuua mzee Yule. Baada ya wazee kuja wakagundua amemuua mfalme wakakimbia na kumtelekeza Achilli....nae akakimbia baada ya kutengwa akarudi mjini kutafuta maisha....
Alipofika mjini akapata kazi ya kwenye kasri la mfalme... Na akapewa kazi ya kumhudumia mke wa mfalme aliyefiwa mmewe bila kujua ni mama yake. Mahaba yakaanza baada ya Muda mke wa mfalme akaolewa na kijana naye akatawazwa mfalme, utabiri wa Oracle of Apollo ukatimia.....
Baada ya kuapishwa kua mfalme akatangaza yoyote atakaebainika alimuua mfalme alikuwepo kabla yangu atauwawa...... Oracle of Apollo wakatingisha manyanga kucheki nani anahusika.....ndio naendelea kusoma hapa nitwajuza kipi kiliendelea ni kitabu kizuri saana kiliandikwa kabla yesu kuzaliwa na SOFOKOZI (SophoclesHILL).