Mkuu Dar itabaki kua Dar tu huko Dodoma, Mwanza, Arusha, Mbeya ,Tanga kutabaki kua mikoani tu...hamshangai huyu jamaa anahamishia serikali Dodoma lakini nguvu kubwa ya miundombinu amekazania Dar?soon kutakuwa na mwanaume wa dar, dodoma na mikoani so soon
Ulichukua hatua gani mkuu?Niliendaga Dar nikakutana na wanaume walaini kama Dada zao yaani wamejichubua, midomo yao imepakwa vitu vya kung'aa, wanavaa nguo za kubana kuonesha hips na mapaja, wakiwa wanaongea wanajilambalamba midomo halafu wanakuwa na tuswaga twa kike
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wa dar wanashindia masweta na makoti eti kuna baridiKumekuwa na trend nzuri ya kuponda wanaume wa dar. Nafikiri wengi hawajui uhalisia wa wanaume wa dar
Sifa zao ni hizi
1. Wengi wasomi na wanajua kutunza afya zao ndio maana hawali hovyo kama wana mapepo. Siku tulizonazo hizi wanga ni tatizo kubwa sana. Hizi ndio sababu wanaume wengi wa mikoani wana vitambulisho tofauti na wanaume wa dar ambao angalau wana nidhamu ya kula
2. Ni wastaarabu. Dar mambo ya kupigana pigana tumewaambia kuku na wanaume wa mikoani. Tunapigania na maisha na sio kupiga mtu
3. Wanaume wa dar hawapigi wake zao na hawaui sababu ya kusalitiwa. Visa vya mauaji vikosi sana mikoani. Wanaume wa mikoani wakatili sana. We ona mtu anajua mke wake na kumfukia kwenye shimo la choo.
4. Wanaume wa dar hawanaga masifa ya kijinga jinga. Sijui eti nimemkomoa au kujisifia kulala na wengi ujinga mtupu. Dar ni wastaarabu sana.
5. Wanaume wa dar hawadharirishi wanawake sababu ya uvaaji wao. Nimeona mikoani jitu zima linaanza kumzome mwanamke sababu ya alivyovaa. Wewe Mungu amekukupa macho na kope za nini?
Usipopenda tazama kwingine. Dar tunaheshimu uhuru na uchaguzi wa watu.
6. Wanaume wa dar ni wachakarikaji sana na wanajua maisha ni nini labda mateja. Angalia hao wa mikoani utajua tofauti.
Proud to be mwanaume wa dar
Nilirudi zangu mkoa baada ya kugundua naweza kufitinikaUlichukua hatua gani mkuu?
Acha kujisifu na kudharau watu ndugu yangu, kujisifu na kudharau watu ni sifa za mwenye kiburi. Na kiburi ni tabia ya shetani.Kumekuwa na trend nzuri ya kuponda wanaume wa dar. Nafikiri wengi hawajui uhalisia wa wanaume wa dar
Sifa zao ni hizi
1. Wengi wasomi na wanajua kutunza afya zao ndio maana hawali hovyo kama wana mapepo. Siku tulizonazo hizi wanga ni tatizo kubwa sana. Hizi ndio sababu wanaume wengi wa mikoani wana vitambulisho tofauti na wanaume wa dar ambao angalau wana nidhamu ya kula
2. Ni wastaarabu. Dar mambo ya kupigana pigana tumewaambia kuku na wanaume wa mikoani. Tunapigania na maisha na sio kupiga mtu
3. Wanaume wa dar hawapigi wake zao na hawaui sababu ya kusalitiwa. Visa vya mauaji vikosi sana mikoani. Wanaume wa mikoani wakatili sana. We ona mtu anajua mke wake na kumfukia kwenye shimo la choo.
4. Wanaume wa dar hawanaga masifa ya kijinga jinga. Sijui eti nimemkomoa au kujisifia kulala na wengi ujinga mtupu. Dar ni wastaarabu sana.
5. Wanaume wa dar hawadharirishi wanawake sababu ya uvaaji wao. Nimeona mikoani jitu zima linaanza kumzome mwanamke sababu ya alivyovaa. Wewe Mungu amekukupa macho na kope za nini?
Usipopenda tazama kwingine. Dar tunaheshimu uhuru na uchaguzi wa watu.
6. Wanaume wa dar ni wachakarikaji sana na wanajua maisha ni nini labda mateja. Angalia hao wa mikoani utajua tofauti.
Proud to be mwanaume wa dar
Ha ha ha ha ha hlo suala n kwel chief ukienda mikoani ukitokea dar utazila sana papuchi za mikoaniWrite your reply...ndo maana dada zao wana2papatikiaga sana ukianda huko mikoan
Unaonekana umezoea ugali wa "nkula"Juzi nilikua Dar nikapita makumbusho pale stand ya daladala . Njaa ikauma ikabidi niingie restaurant Fulani iv. Naulizia ugali naambiwa hapa hatupiki ugali duh ....ehee kuna nini wanaanza kuntajia chipsi yai sijui chipsi mishkaki chipsi kuku chipsi nini sijui makange na chipsi makorokoro kibao. Na midume pembeni naona inakata tu kiepe yai na juisi ya miwa bila shida yoyote . Mmoja bila aibu namsikia anasema yai hilo uslikaushe. .........Wanaume wa Dar mbadilike (sijatunga kitu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakera sanaJuzi nilikua Dar nikapita makumbusho pale stand ya daladala . Njaa ikauma ikabidi niingie restaurant Fulani iv. Naulizia ugali naambiwa hapa hatupiki ugali duh ....ehee kuna nini wanaanza kuntajia chipsi yai sijui chipsi mishkaki chipsi kuku chipsi nini sijui makange na chipsi makorokoro kibao. Na midume pembeni naona inakata tu kiepe yai na juisi ya miwa bila shida yoyote . Mmoja bila aibu namsikia anasema yai hilo uslikaushe. .........Wanaume wa Dar mbadilike (sijatunga kitu)
Sent using Jamii Forums mobile app