ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

A slowly movement of lion does'nt mean a tiredness or weakness rather it's a calculated steps to attack a prey.

Mtasebeneka kwa muda mfupi tu...kuliwa vichwa kwa kukurupuka kupo palepale.

Unaongea kana kwamba wewe ndo mmiliki wa kampuni ya Acacia na unatoka nchi nyingine kabisa na wala si mtanzania!
 
Kama umemsikiliza vizuri mheshimiwa hapa hakuna kamati nyingine itakayoundwa labda kitakachofuata ni tuchukue chetu then waende mana sidhani km wataweza kulipa hzo pesa zote ...... wengi hawataki kuukubali huu ukweli lakni mkuu hata wewe fanya research yako kwa hayo mambo ambayo serikali imeyaongelea kwenye ripoti afu utapata majibu .... tumeibiwa sana mkuu.
Historia ya kuchukua tunayo!!!
Unakumbuka "msajili wa majumba" ilikuwa kwa mbwembwe za kutosha!!
Lakini leo unakaa kilungule town umewaachia wahindi UNABISHA?
 
Historia ya kuchukua tunayo!!!
Unakumbuka "msajili wa majumba" ilikuwa kwa mbwembwe za kutosha!!
Lakini leo unakaa kilungule town umewaachia wahindi UNABISHA?

Kwan kuna aliyekukataza kukaa mjini ..... acheni kufananisha mambo ya msingi na vitu vya ajabu.
 
NILITEGEMEA 100 % YA LAWAMA RAIS AZIELEKEZE KWA MKAPA, KIKWETE ,WABUNGE WA CCM AKIWAPO YEYE NA WATENDAJI WENGINE WHO WERE KEY S TO THE DECISIONS OF THIS ROBERRY BACK THEN. cha ajabu rawama za hasira kazimalizia kwa TL. Shida ya hii inchi ni mi CCM
Indirect kazielekeza huko.Unajua kwanini hawajaalikwa Na wamealikwa akina Bujiku
 
NILITEGEMEA 100 % YA LAWAMA RAIS AZIELEKEZE KWA MKAPA, KIKWETE ,WABUNGE WA CCM AKIWAPO YEYE NA WATENDAJI WENGINE WHO WERE KEY S TO THE DECISIONS OF THIS ROBERRY BACK THEN. cha ajabu rawama za hasira kazimalizia kwa TL. Shida ya hii inchi ni mi CCM
Indirect kazielekeza huko.Unajua kwanini hawajaalikwa Na wamealikwa akina Bujiku
 
We ndo usome kwenye website yao ila me nipo hapa working na najua wanachojaribu kukifanya .... na ukweli ndo huo wametuibia.
Hivi Nyerere alikuwa na hisa diamond Williamson?
Hili kaburi ni kama la farao ujue (pyramid)
 
Naona kila upande unamtegea mwenzie unasema upo tayari kwa majadiliano. Sasa hapa kama una akili utajiuliza maswali mengi. Wa kwanza alie ibiwa anadai chake lakini hamfikishi mahakamani mwizi wake, na yule alietuhumiwa kuiba na kuzuiliwa mali zake na kusababisha kuchafuliwa ambapo hisa zake zimeporomoka kwa kiasi kikubwa nae hataki kumshitaki aliemchafulia jina, aliemuingiza hasara ya hisa na bidhaa zake zilizoshikiliwa nae anasema yupo tayari kwa majadiliano. Kuna alama kubwa sana ya kuuliza na ya mshangao ambazo hazionekani ni za kufikirika ambazo hazionekani kwa macho zinahitaji majibu ya kufikirika.
hamsini hamsini
 
We jamaa unaakili, wewe ni msomi mzuri sana bila shaka yaani umeelimika ulipoenda shule shida hawa watu wana ....vyeti hawahakiki elimu
Yaaan wanawaona wanao kosoa kama ndio walio ingia hyo miktaba hawajui waliyo yashangilia na kuyapitisha wao wenyewe ndio sasa wanayaona kama sio makosa yao, kuna watu wanakwaza sana Acasia wanakosa gani sasa mjibie wenyewe alafu mlaumu wazungu
 
Hivi Nyerere alikuwa na hisa diamond Williamson?
Hili kaburi ni kama la farao ujue (pyramid)

Unajua kuna vitu haviihitaji debate za kiwango chako kabisa mkuu, hebu fanya ishu zingine basi mana huna unalolijua afu bado unakuwa mbishi, hyo mifano na vimaneno unavyosema haviingii ht kidogo kwenye hii ishu...... unasikitisha kbsa.
 
Wenye akili zetu zilizotukuka tunamuamini 100% Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari Dkt. John Pomba Joseph Magufuli na sio hao Wezi Rasilimali za Watanzania ACACIA. Rais ni Taasisi hivyo nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watendaji wa Rais ambao kiujumla ni Idara zake Nyeti zote pamoja na Tume aliyoiteua zimefanya Kosa hadi zikampa taarifa Mheshimiwa Rais pamoja na Wasaidizi wake Wakuu wote Makamu Samia na Waziri Mkuu Kassim mbele ya Hadhara kubwa kama ile yenye Watu wazito na wanaoheshimika katika nchi hii.

Tanzania tulimuhitaji Rais Magufuli miaka 20 iliyopita na nina uhakika kama angekuwepo Yeye kwa haya anayoyafanya na aliyoyafanya leo hii Tanzania tungekuwa tunakimbizana na akina South Africa, Morocco na Malaysia Kimaendeleo na Kiuchumi. Uthubutu huu wa Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli ni ishara kubwa ya Ushujaa wake na Uzalendo wake wa Kweli kwa Taifa hili na nadhani hao ACACIA badala ya kutaka kuwazuga na kuwafanya Watanzania ni Wapumbavu / Mapopoma basi wangeanza Kwanza Kutubu kwa Mwenyezi Mungu kisha kwa sisi Watanzania kwa Ufedhuli na Ukatili wa Kiuchumi waliotufanyia tokea mwaka 1998 hadi leo.

Mungu mbariki sana Rais wa JMT Dkt. Magufuli
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Africa.
 
A slowly movement of lion does'nt mean a tiredness or weakness rather it's a calculated steps to attack a prey.

Mtasebeneka kwa muda mfupi tu...kuliwa vichwa kwa kukurupuka kupo palepale.
ninahisi kama kuna kaukweli hivi kwenye hicho unachosema.......mi ni mmoja wa waumiao sana na huu unyonyaji, lkn nafsi haipati amani kabisa kuwa na ripoti hizi na namna zinavyoendeshwa!
 
12 Juni 2017
Mwitikio wa Acacia kwenye matokeo ya kamati ya pili ya Rais

Acacia imeona matokeo ya kushtua ya kamati ya pili ya Rais iliyowasilishwa kwa Rais wa Tanzania Mh. Dk John P. Magufuli leo asubuhi ambayo imeangalia nyanja za historia za kiuchumi na kisheria ya mauzo ya nje ya makanikia ya madini.

Kamati ya Pili imetoa matokeo yake kwa kutumia matokeo ya Kamati ya Rais ya Kwanza, iliyotangazwa tarehe 24 Mei 2017, ambayo Acacia imeikanusha vikali. Kamati hiyo ilipata matokeo yake kwa kutumia sampuli ya kontena 44. Kwa mujibu wa data za zaidi ya miaka 20 tulizonazo ni vigumu kuoanisha matokeo yetu na yaliyokutwa na kamati, na kamati imetoa thamani ya juu kwa zaidi ya mara 10 kuliko thamani halisi ya makanikia

Kamati ya Pili inadai kuwa Acacia imetangaza kiasi cha chini cha mapato kuliko inavyopata na kulipa kodi kidogo kuliko inavyostahili kwa miaka mingi na kuficha mabilioni ya dola ya Marekani. Na hivyo imefanya mapendekezo kadhaa ikiwa ni pamoja na Acacia kulipa kodi inayodaiwa na mirahaba, kufanya majadiliano upya ya mikataba mikubwa ya uchimbaji madini, umiliki wa Serikali katika migodi, na muendelezo wa


marufuku ya kuuza nje.

Acacia inakanusha vikali tuhuma hizi mpya zisizo na ushahidi. Sisi tumefanya biashara zetu kwa utaratibu bora kabisa na kwa kufuata sheria zote za Tanzania. Tunarudia kusema tena tumeweka wazi kila kitu chenye faida tulichokuwa tunazalisha tangia tuanze uchimbaji Tanzania na tumelipa kodi na mirabaha yote inayotakiwa kulipwa, na kwa kuongezea mahesabu yetu tunayotoa yanakaguliwa kila mwaka kwa viwango vya kimataifa vinavyoendana na IFRS.

Acacia kwa muda mrefu tulitaka kushirikiana na Serikali ya Tanzania kwa kuwa tunaamini wote tuna malengo sawa katika kuimarisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini. Hata hivyo, ushirikiano huu lazima uwe na misingi ya haki kwa wadau wote, ikiwa ni pamoja na 96% ya wafanyakazi katika migodi yetu ambao ni Watanzania, na wanahisa wetu ambao wamechangia dola bilioni 4 za uwekezaji ambazo Acacia imefanya ndani ya nchi hadi sasa.

Acacia bado inakaribisha mazungumzo na Serikali kuhusu suala hili na inaendelea kutathmini nini inaweza kufanya . Tutatoa taarifa zaidi kwa soko kadri tutakavyoweza kufanya .




Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti yetu
www.acaciamining.com


=================================

1
LSE:ACA www.acaciamining.com
12 June 2017
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION
Acacia Mining plc
LSE:ACA
(“Acacia” or the “Company”)
Update on the 2nd Presidential Committee Findings
Acacia notes the disappointing findings of the Presidential Second Committee’s report which were presented to the President of Tanzania H.E. Dr. John P. Magufuli this morning and which considered the historical economic and legal aspects of the export of metallic mineral concentrates.

The Second Committee has primarily based its findings on those of the First Presidential Committee, announced on 24 May 2017, that Acacia strongly refutes. That Committee based its findings on samples from 44 containers. Based on more than 20 years of data available to us it is impossible to reconcile those findings and they grossly overstate the value of the concentrates by more than 10 times.

The Second Committee has alleged that Acacia has under-declared revenues and tax payments over a number of years by tens of billions of US dollars. As a result it has made a series of recommendations including the payment of outstanding taxes and royalties, re-negotiation of large-scale Mineral Development Agreements, Government ownership in the mines, and the continuation of the export ban.

Acacia strongly refutes these new unfounded accusations. We have always conducted our business to the highest standards and operated in full compliance with Tanzanian law. We re-iterate that we have declared everything of commercial value that we have produced since we started operating in Tanzania and have paid all appropriate royalties and taxes on all of the payable minerals that we produce. In addition, our published accounts are annually audited to an international standard in accordance with IFRS.

Acacia has long sought to be a partner with the Government of Tanzania as we believe that we have similar goals in enhancing social and economic development in the country. However, this partnership must be based on fairness for all stakeholders, including the 96% of our employees at our mines who are Tanzanian, and our shareholders who have funded the US$4 billion of investment that Acacia has made into the country to date.

Acacia remains open to further dialogue with the Government regarding this issue and continues to assess all of its options. We will provide a further update to the market as soon as practical.

ENQUIRIES
For further information, please visit our website: www.acaciamining.com or contact us

Kuna uwezekano WA kuwa tunatafuta kiki kupitia ripoti izi za kamati za rais
Tumeshindwa kutafuta umaarufu Kwa viwanda,sasa lazma umaarufu utafutwe iwezekanavyo,piga kazi mkulu JPM wajinga ni wengi sana hapa sifa lazima
 
Serikarini siku hizi inaonekana kuna vijana wamezibuka mie sidhani ata huyo Magufuli ndani ya moyo anaamini mahitimisho ya hizi kamati ni sahihi; hii mikwara ya Magu labda njia tu ya kutaka pa kuanzia wanapokutana kujadili mikataba kuakikisha wanatoka na best deal.
 
NILITEGEMEA 100 % YA LAWAMA RAIS AZIELEKEZE KWA MKAPA, KIKWETE ,WABUNGE WA CCM AKIWAPO YEYE NA WATENDAJI WENGINE WHO WERE KEY S TO THE DECISIONS OF THIS ROBERRY BACK THEN. cha ajabu rawama za hasira kazimalizia kwa TL. Shida ya hii inchi ni mi CCM
Tatizo lako unajali lawama kuliko pesa,kwani akilaumiwa Mkapa au CCM we unafaidika nini,,,Lissu umemtaja wewe kwa Jina ila hakusikika akitajwa ila wamesikika wakitajwa waliosaini hiyo mikataba,unataka kunambia waliotajwa hawakua CCM au ulitaka aseme CCM badala ya waliosaini,,,Labda mimi uelewa wangu mdogo,sizani kama unaweza kuniandikia sahihi ya CCM!!! tofauti na hapo we unawazia vyama tu,sio kila mtu anachama so ukikaa kichama chama ni bora uwe unawasilisha lawama kwenye mikutano ya vyama
 
Back
Top Bottom