Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwa la Waharirii) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

It's Rama again..!!??

unakumbuka ya ulimboka? Alipigwa usoni, alinyofolewa meno, kucha na kutupwa. Pia walitaka kumshoot ila brain yake ikakata mawasiliano kutokana na maumivu wakadhani amekufa. Huyu naye risasi zimegoma! Mungu tu ndo muokoaji. Ramadhani abeid ighondu ni mhalifu anayefahamika, kutokana na hilo wameamua kumtumia kukamilisha uhalifu wao ili na ye aendelee kuwepo. Na tume ni ya kina msangi(mzee wa shushashusha
 
kwa jinsi tunavyoendelea tanzania, kuna kila sababu ya kuamini siku ile ya national revolution inakaribia kwa kasi.
na mimi naisubiri kwa hamu. tuhamishe madaraka kwa watakayoyaweza na kutuhakikishia sisi wananchi usalama wetu na mali zetu na kutuwekea mazingira bora ya maendeleo yetu.
 
kwa jinsi tunavyoendelea
tanzania, kuna kila sababu ya kuamini siku ile ya national revolution
inakaribia kwa kasi.
na mimi naisubiri kwa hamu. tuhamishe madaraka kwa watakayoyaweza na
kutuhakikishia sisi wananchi usalama wetu na mali zetu na kutuwekea
mazingira bora ya maendeleo yetu.

ili nchi iwe salama maandamano yafanyike ya kumuondoa mr.dhaifu madarakani.
 
hizi tume zinazoundwa na mafisadi haziaminiki. waandishi wa habari undeni ya kwenu
 
Nchi hii Amani ilizikwa na Nyerere, mimi na mpango kununua 9mm yangu fasta.... Hata wakinipoga na mimi lazima niondoke na wangu.

Waandishi nunue silaha ya moto, kujilinda...
 
Ukimuuliza FREEMAN MBOWE na GODBLESS LEMA. Watakwambia kilimchotokea Absalom Kibanda.

Na kwa kuwa wana wapambe wao humu ndani. Waambieni kwamba malipo ni humu humu duniani.
umenikumbusha msiba wa Mh. Chacha Wangwe.
Hizi propaganda naona sasa zimefika pabaya na zinaanza kuzaa matendo mabaya zaidi kama haya. ukisikiliza mikutano ya chama fulani mengi wanayoongea ni cdm tu na wanatumia gharama yoyote kuuonyesha umma kuwa hawa watu ni wabaya. Na kuna mtu kaandika katika hii thread jinsi Mzee Mwanakijiji alivyouchambua msiba wa Marehemu Chacha Wangwe sema tu wengi wetu hatutaki kuelewa!
Sio ajabu kuja kusikia hata hao vijana waliohamia kutoka cdm wanaoshinda wanamtukana Katibu mkuu wa cdm wakaja kudhuriwa ili umma uaminishwe kuwa wamedhuriwa na cdm.

Kwa vyovyote kama tumeamua kutumia huu umafia kutimiza malengo ya kisiasa ni suala la muda wanaofanya hivi nao kugeukiwa. Hii haitatusaidia kama nchi maana umasikini uko pale pale.
Adui wetu mkuu ni umasikini na ujinga zaidi ya cdm
 
pole sana ndugu Kibanda...haya mambo yalipoanzia kwa akina Kubenea watu hawakujali, mwishowe wakamuua Mwangosi mchana kweupe...hakuna hata mtu aliyewajibishwa!sasa waandishi na wapenda amani wajue kua akumulikae mchana... :nono:ucku akuchoma...sasa jiandae ili akija ucku..... :boink:
 
ifike muda tuseme inatosha sasa kwani hata mtoto mdogo hawezi kudanganywa kuwa this is not a plan by a certain group of people for their interest and benefits, wahusika waliangalie hili kwa jicho la tatu kama si nne, pole sana kwa yote Absalom.
 
Kama msanii wa bongo fleva anaweza kumiliki silaha ya kujilinda, inakuwaje kwa wewe mwandishi wa habari? Tena kutokana na mazingira ya kazi yako, hapana shaka kuna maadui lukuki wamekuzunguka kila kona?
Kuna haja ya kubadili mtazamo, kwa hili la ulinzi binafsi.


JM
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Abdalom Kibanda, amekimbizwa Muhimbili baada ya kuvamiwa na kisha kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.

Watu hao walimvamia na kumtoa katika gari kisha wakampiga kabla ya kumtupa na kumtelekeza umbali mdogo na nyumbani kwake.

Aliokotwa na majirani na kukimbizwa hospitalini Muhimbili kwa matibabu ya haraka.

Pamoja na kuumizwa hivyo, hakuna kitu hata kimoja kilichoporwa katika gari lake

attachment.php

attachment.php


Taarifa zaidi baadae...
Viongozi wa CCM ni wanafiki sana,wanapiga wenyewe na pole wanatoa wenyewe,siku yenu ipo mtakuja kujuta tu kwa mnayoyafanya.
 
pole sana ndugu Kibanda...haya mambo yalipoanzia kwa akina Kubenea watu hawakujali, mwishowe wakamuua Ulimboka mchana kweupe...hakuna hata mtu aliyewajibishwa!sasa waandishi na wapenda amani wajue kua akumulikae mchana... :nono:ucku akuchoma...sasa jiandae ili akija ucku..... :boink:

Mkuu umekwenda faster sana bila kuangalia ulichoandika, Ulimboka hajafa labda ulimaanisha Mwangosi inawezekana imekuchanganya kwa sababu wote ni waNyakyusa. Rekebisha.
 
....Ni hatari sana kwa waandishi... Msisahau kumuomba Mungu.... kuwa makini na kila kitu... POLENI SANA
 
Ee Mungu msaidie apone haraka, na mpunguzie maumivu haya makali. Aidha, waliohusika wote wakamatwe haraka sana kwa msaada wako, najua hilo linawezekana kwako kabisa na sina shaka na wewe kwa kuwa wewe ni Mungu unayeweza yote na unajua yote
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Abdalom Kibanda, amekimbizwa Muhimbili baada ya kuvamiwa na kisha kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.

Watu hao walimvamia na kumtoa katika gari kisha wakampiga kabla ya kumtupa na kumtelekeza umbali mdogo na nyumbani kwake.

Aliokotwa na majirani na kukimbizwa hospitalini Muhimbili kwa matibabu ya haraka.

Pamoja na kuumizwa hivyo, hakuna kitu hata kimoja kilichoporwa katika gari lake

attachment.php

attachment.php


Taarifa zaidi baadae...
Viongozi wetu wamekuwa Mahiri kwenye kuhani misiba na kutembelea watu waliofanyiwa uharamia mahospitali na hata majumbani badala ya kuchukua actions za kusafisha maovu . Yaani wapo wapo tu utadhani ni jukumu la watu wengine kufanya nchi iwe mahali salama pa kukalika. Shame on them.
 
Watanzania wenzangu,tujiulize maswali magumu.ustadi huu mkuu wa kung'oa watu kucha ,macho,na meno kisha kutesa na kutelekeza mtu akiwa kufani kipo wapi.

mkuu wa chuo hicho ni nani na anadhaminiwa na nani?
na kwa mwaka anasajili wanachuo wangapi?
yaliompata ABSALOM KIBANDA,NA MTANGULIZI WAKE DOCT. STEVEN ULIMBOKA yanatisha.ni lazima hapa kuna genge la watu ambao wamefunzwa vilivyo kudhuru watanzania wenzake.
nini hasa mwandishi huyu alichokifanya mpaka haya yanamfika?
na laani kwa nguvu zote,MUNGU AMREHEMU MWANDISHI HUYU.
 
lipo genge lipo.wakili wa ULIMBOKA Alisema siku ile walomdhuru walikokuwa wametoka.hata wewe mtoa mada unajua
 
Mafia wa tanzania ovyo kabisa,utamtekaje mtu huku mnapayuka piga risasi huyo afande? Hizi shughuli hupigwa kwa siri na utaalam wa hali yajuu,nikapewa hii kazi yani wallah uwepo wako utabaki stori na hata mwili wako unaweza usionekane kamwe,hivi ni vitu vidogo sana wanashindwa kuiga hata ya wenzetu mpaka kujiabisha kiasi hiki? Badilikeni bhana
 
Kama msanii wa bongo fleva anaweza kumiliki silaha ya kujilinda, inakuwaje kwa wewe mwandishi wa habari?

Tena kutokana na mazingira ya kazi yako, hapana shaka kuna maadui lukuki wamekuzunguka kila kona?
Kuna haja ya kubadili mtazamo, kwa hili la ulinzi binafsi.



JM

......

Kumiliki silaha siyo suruhisho mkubwa! Wangapi wanauwa vitani wakiwa na silaha tena zito sana. Suala ni serikali kuhakikisha inalinda wananchi na mali zao kwani kama kila mtu atakuwa na siraha, inategemea na time vile vile.

Serikali lazima iwe kali katika masuala ya namna hii kama inadhamira ya kuyakomesha kweli.
 
Back
Top Bottom